Msaada wageuka shubiri baada ya kupaki kiumbe cha ajabu maeneo ya fukwe

Msaada wageuka shubiri baada ya kupaki kiumbe cha ajabu maeneo ya fukwe

Hapana sikuwa na hisia nae za kimapenzi.. Mie muoga sana kwa Wanawake.. Nawaachia nyie vijana..
 
Mie sio mwandishi wa thread humu Jf... Nimejoin since 2013.. Thread sidhan kama znafika 10!.. Mpaka naweka thread.. Huwa kuna positive force imenfanya niandike.. Siwez kukaa na kujitungia Uongo ili nimnufaishe nan?..
Mimi kama member mkongwe nimekuamini

Achana nao hao wengine hao std 7 hawawezi elewa kadhia tunazokumbana nazo did digrii 4
 
Ulikutana na jini mzee, ss hyo saa 3 uliyostuka kwa kugongewa na mlinzi ilikuwa ni nyumbani kwako au ni pale pale ulipofungia brek??

Na huyo mlinzi aliyeona watu wengi wakishuka kwenye gari ilikuwa ni saa ngapi na walishuka wakaenda wp?
Hapana sikuwa na hisia nae za kimapenzi.. Mie muoga sana kwa Wanawake.. Nawaachia nyie vijana..
 
Mazigazi.. hahah Sawa mkuu wa KAYA..!

Tatz vijana hawa muda mwingi wanagombania remote kwa shemeji.. muda wa kukutana na misukosuko hawana
 
Mwamba028..
"mtanisamehe ku reply post individual instead of kufany quotation,maana kifaa nacho2mia hakiruhusu hlo zoezi" narud ktk mada.. BREK nilifunga kawaida na kupak pembeni ingawa nilipanda ktk Gema la barabara..

Mlinzi alikuwa nje hakuwa mwenyewe kulikuw na mwenzie pia.. Hawakutoka eneo lao la lindo,waliona tu watu kadhaa wakishuka mlango wa nyuma na kupotelea kusikojulikana "hawakuwafatilia sana" muda wa saa 7 ucku ndo 2kio lilitokea,saa 3 asbh mlinzi ilibid asogee gari ilipo na kuniona nimelalia steering.. Vioo vilifungwa na kawaida gari yenye alarm system ikiwa silencer (idle mode) kwa muda wa dakika kadhaa inajipiga lock.. So yeye ilibid anigongee kioo kwa nguvu.. Mpaka naondoka pale Mlinzi anajua nilikuwa nimelewa.. Sikumweleza chochote kwa kuwa Akili haikuwa sawa Ingawa mie sijawah kunusa kilevi chochote.. Lakn waliosogea pale wanaamini nilikuwa Tungi.. Kumbe kuna kasheshe limetokea
 
The great Emanuel..
Hapana.. Hata angekuwa mwanaume ningemsaidia tu.. Huy dada sijamsaidia kwa nia ya kimapenzi.. Au matamanio yoyote..
 
Ulikutana na jini mzee, ss hyo saa 3 uliyostuka kwa kugongewa na mlinzi ilikuwa ni nyumbani kwako au ni pale pale ulipofungia brek??

Na huyo mlinzi aliyeona watu wengi wakishuka kwenye gari ilikuwa ni saa ngapi na walishuka wakaenda wp?
Maswali mengi kuliko majibu. Mi nimeshangaa hapo kph 130
 
Mkuu, naomba nikupongeze kwa kumiliki gari huko Daslam....
Hayo mengine ya majini, ebu pambana nayo tu mwenyewe maana vijana wa huo mkoa mnajiana wenyewe
tapatalk_1574003001155.gif
 
Mzee kigogo..
Jitahidi kuwa na mindset nzuri pia jitahidi kujua unachokibisha kwa undani kabla ya kuumbuka.

Patrol y62 v8 powered Engine.. Ina top speed 240/kph..
Kutoka 0-100/kph hutumia sec 6.7! Yaan within sec 20 nauhakika wa kufuta 240/kph.. So mwendo wa 130/kph kwangu ni mwendo wa KIKANISA.. Natembea 240/kph na nakopa nyingine.. Nikiwa maporini huko
 
Akanijibu "tangia saa 7 niliona watu kama nane wakishuka humu wote wakiwa wamevaa nguo zisizoeleweka za kuwakawaka.. Akanambia nilidhan wametelekeza gari.. Akanirudishia swali.. Kwan wale wakina nan? Sikumjibu gari ilikuw inawaka bado na cha kushangaza sina jeraha lolote.. Ingawa nilipata Usingizi mzto mno..
Gari imeunguruma toka saa 7 usiku mpaka saa 3 asubuhi yani masaa 9 chuma kinunguruma hakijaisha mafuta na raia wanakipita tu!!..
Tena kama ulizimia bila kuzima gari ina maana na taa zimewaka masaa 9 af mtu wa kwanza kaja shtuka saa 3 asubuhi kwamba una tatizo!!.
Tukichukulia distance ya kutoka beach kwenda pande zote zenye Fuel station basi ni sehemu zenye busy population na ni sehemu zenye Patrol sababu ya uzito wa maeneo yale!.
Haya bana
 
Back
Top Bottom