Msaada wageuka shubiri baada ya kupaki kiumbe cha ajabu maeneo ya fukwe

Msaada wageuka shubiri baada ya kupaki kiumbe cha ajabu maeneo ya fukwe

Mr wick..
Gari ikiwa idle mode hainywi mafuta.. Na unajua kulikuwa na lita ngapi?..

Pili.. Gari ikiwa idle mode.. Umeme unajifua kutoka katika autornetor kwenda katk betri ya gari.. Hvyo umeme unakuwepo full so kigezo cha kuwaka gari na taa sidhan kama kuna kipingamiz unless uwe mgeni wa haya mambo.


Una uhakika nilipata matatzo maeneo ya fuel station?...

Patrol scanning sio kila sehemu watafika..huwa wanatarget maeneo nyeti tu na yenye hatari ya uvamizi wa mara kwa mara

Mlinzi eneo alilokuwepo ni umbali wa mita 100 na ni nje ya eneo lake la ulinzi haikuw rahs yeye kutoka kule aje pale ukzngatia gari ilikuw inawaka tu.. Au ww ungekuwa mlinzi Ungeacha lindo lako uje kufata Umbea?
 
Mr wick..
Sitak kutoa actual info kuhusu tukio langu kuwa nlkuwa natokea wap naenda wap hyo ni privacy yangu.. Nina sababu ya msingi.

Ngoja nikwambie kitu.. Nikitaka nidanganye hapa naweza

kutoka Golden Tulip kushuka police mess mpak coco.. Kushusha mpak main road.. Wajuzi wa ile njia wanajua ilivyonyooka unaend mwendo wowote unaoutaka

kuna sehemu inaitwa 'kilima Nyege' wanaopajua hapa wanaelewa pakoje kuna flatout moja nzur sana.

Tukija.. Ununio.. Bahari beach kote kule unajimwaga mwendo utakao

njia za kati nikimaanish kuna road kutoka Unicef kule imenyook vzr sana.. Kuna njia nying oysterby za kujimwaga

ukija Main road kutoka morocco mpk selander brigde unalaza mshale wa 180 pale..

Kutoka moroco kwend mwenge unalaza 180 pale..

Sehemu ni nyingi za kukimbia ila sitataja ni wapi hasa kwa sababu zangu binafsi.
 
Mkuu pale kilima nyege ukiwa speed patam sana yaan gari inapaa kama upo kwenye rally




sema pole kwa maswaibu yaliyokukuta
 
Mkuu pale kilima nyege ukiwa speed patam sana yaan gari inapaa kama upo kwenye rally




sema pole kwa maswaibu yaliyokukuta
hahah ahsante sana ndug.. Pale kuna jamaa zangu wamepiga chini.. Sana. Kuna hv vibajaj vimepnduka sana pale
 
Aiseee sawa buana pole kwa janga lililokukuta.

Tuliwahi lala Pangani kijiji kimoja before kuingia Saadan tulifika usiku muda ambao haturuhusiwi kuvuka mbugani, pale kuna hoteli mbili moja tulikuta imejaa ya pili ilikuwa kwenye ukarabati, na zingine ni guest houses zilizopo hapo kijijini, nikawashauri wenzangu tupaki beach tulale, Binafsi sikulala usiku kucha nilikuwa naangaza huku na huko walau nione chochote, i mean kitu au kiumbe chochote kisichoeleweka. Siku hiyo nilipanga nione yooteeee ambayo huwa nayasikia kwa stories juu ya fukwe za bahari.

Bila kumention maisha ya Nungwi beaches kule huwa tunakesha sana, hapa sijapaongelea maana huwa watu ni wengi wanaokesha. Pia mi huwa naenda (tunaenda )mara kwa mara Peponi Beach resort ni beach ambazo hazina watu tunakesha sijawahi ona mauza uza yoyote yale.
 
Back
Top Bottom