Mwamba028..
"mtanisamehe ku reply post individual instead of kufany quotation,maana kifaa nacho2mia hakiruhusu hlo zoezi" narud ktk mada.. BREK nilifunga kawaida na kupak pembeni ingawa nilipanda ktk Gema la barabara..
Mlinzi alikuwa nje hakuwa mwenyewe kulikuw na mwenzie pia.. Hawakutoka eneo lao la lindo,waliona tu watu kadhaa wakishuka mlango wa nyuma na kupotelea kusikojulikana "hawakuwafatilia sana" muda wa saa 7 ucku ndo 2kio lilitokea,saa 3 asbh mlinzi ilibid asogee gari ilipo na kuniona nimelalia steering.. Vioo vilifungwa na kawaida gari yenye alarm system ikiwa silencer (idle mode) kwa muda wa dakika kadhaa inajipiga lock.. So yeye ilibid anigongee kioo kwa nguvu.. Mpaka naondoka pale Mlinzi anajua nilikuwa nimelewa.. Sikumweleza chochote kwa kuwa Akili haikuwa sawa Ingawa mie sijawah kunusa kilevi chochote.. Lakn waliosogea pale wanaamini nilikuwa Tungi.. Kumbe kuna kasheshe limetokea