Msaada Waifu anataka kumtimua dada wa kazi, mimi sitaki

Anamlalamikia kama ilivyo kawaida ya wamama kulalamikia karibu kitu. ila mm sijaona sababu ya msingi ya kumtimua lakn najua nikimwambia si ajabu akazan nnamtaka uyu dada
Kama house girl kapendeza na mshepu wake kwanini abaki? Mke anajiwekea tahadhari huenda Binti kanona na kabla hujaonja anatakiwa asepe. Muangalie house girl yupo Kama mwanzo anapofika?

Ungana na mkeo mumrudishe kwao au asitishiwe mkataba na atafutiwe eneo jingine Kisha mtafute mwingine mshamba.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
0e70b57f-5f80-491b-b174-6e0f9300baf0.jpg
 
Kama house girl kapendeza na mshepu wake kwanini abaki? Mke anajiwekea tahadhari huenda Binti kanona na kabla hujaonja anatakiwa asepe. Muangalie house girl yupo Kama mwanzo anapofika?

Ungana na mkeo mumrudishe kwao au asitishiwe mkataba na atafutiwe eneo jingine Kisha mtafute mwingine mshamba.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwann mshamba?
 
Anamlalamikia kama ilivyo kawaida ya wamama kulalamikia karibu kitu. ila mm sijaona sababu ya msingi ya kumtimua lakn najua nikimwambia si ajabu akazan nnamtaka uyu dada
Mkuu jaribu kwenda hospital....kucheki homa
 
Back
Top Bottom