Msaada Waifu anataka kumtimua dada wa kazi, mimi sitaki

Msaada Waifu anataka kumtimua dada wa kazi, mimi sitaki

Muache amtimue, jiepushe na hiyo vita, km unamuonea huruma, mtafutie visent hata vya kuanzia biashara kimya kimya.
 
Anamlalamikia kama ilivyo kawaida ya wamama kulalamikia karibu kitu. ila mm sijaona sababu ya msingi ya kumtimua lakn najua nikimwambia si ajabu akazan nnamtaka uyu dada
Itakua kashawashtukia ule mchezo wenu mkuu
 
Anamlalamikia kama ilivyo kawaida ya wamama kulalamikia karibu kitu. ila mm sijaona sababu ya msingi ya kumtimua lakn najua nikimwambia si ajabu akazan nnamtaka uyu dada
Usikubali amfukuze mkuu. Pambana kufa na kupona uhakikishe huyo dada anabaki. Hawa wanawake saa nyingine hua wanafanya maamuzi ya kijinga baadae yanakuja kuwacost.
 
Hapo unawezakukuta house girl ana mapishi mazuri zaidi, hivyo anamuona kama tishio
 
Back
Top Bottom