Ben-adam
JF-Expert Member
- Jun 2, 2023
- 1,043
- 2,309
Safi, nimefurahi jinsi mlivyofurahi 😅
Vipi mkuu😃🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi mkuu😃🤔
Haya bhanaSafi, nimefurahi jinsi mlivyofurahi 😅
Itakua kashawashtukia ule mchezo wenu mkuuAnamlalamikia kama ilivyo kawaida ya wamama kulalamikia karibu kitu. ila mm sijaona sababu ya msingi ya kumtimua lakn najua nikimwambia si ajabu akazan nnamtaka uyu dada
Kwani wewe ni jobless.Anamlalamikia kama ilivyo kawaida ya wamama kulalamikia karibu kitu. ila mm sijaona sababu ya msingi ya kumtimua lakn najua nikimwambia si ajabu akazan nnamtaka uyu dada
Weee tumeingia 5G
Dada yetu huyo alipona kweli?? Maana sio kwa joka la mdimu hilo pembeni yke lilivyokua linamnyemelea
Hilo jibu langu lina maana kubwa sana kwa ataefikiri kidogo.Sikutegemea comment kama hii kutoka kwako duh
Tumshauri amuwahi dada ale mzigo kabla hajamfukuza.Anataka kumtimuwa alete hausiboi, akusaidie na kazi zingine.
Hii itaepusha ugomvi kati yenu. Na utakuwa umemwokoa housegirlAiseeeeee nikushauri ukampangie chumba huyo housegirl husikorofishane na wife wako
Na uzi ufungweHiyo vita usiingilie please waachie mambo yao
Hii account imekuwa hacked [emoji1]Anataka kumtimuwa alete hausiboi, akusaidie na kazi zingine.
Dogo kaficha bastola kwenye tracksuit
Usikubali amfukuze mkuu. Pambana kufa na kupona uhakikishe huyo dada anabaki. Hawa wanawake saa nyingine hua wanafanya maamuzi ya kijinga baadae yanakuja kuwacost.Anamlalamikia kama ilivyo kawaida ya wamama kulalamikia karibu kitu. ila mm sijaona sababu ya msingi ya kumtimua lakn najua nikimwambia si ajabu akazan nnamtaka uyu dada
Kumbe ni kweli mnaliwaga na mahouseboy?Anataka kumtimuwa alete hausiboi, akusaidie na kazi zingine.
asante mkuuHiyo vita usiingilie please waachie mambo yao