HSIRAJI
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 745
- 1,550
Huenda pump inafanya Kazi KWA kubahatisha kuna mda inawaka na muda haiwaki naamin itakuwa pump ya umemeHapa hapo ingepiga starter lakini isingekaa silence
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda pump inafanya Kazi KWA kubahatisha kuna mda inawaka na muda haiwaki naamin itakuwa pump ya umemeHapa hapo ingepiga starter lakini isingekaa silence
Salaam!
Naomba Msaada kwenye hilo. Gari unapopiga Starter linakuwa moto unafika ila haiwaki.
Muda mwingine Kesho yake au muda mrefu umepita Ukiwasha inawaka.
Naombeni Kujuzwa kwa wale waliowahi kumbana na adha hii.
Shukrani saana Umesoneka Vizuri Mtaalamu.Mtoa maada na watu wengine ambao huwa mnaleta matatizo humu. Zingatieni haya,
1. Jitahidi sana kueleza clearly gari yako ni aina gani na aina ya mafuta inayotumia,
2. Jitahidi kueleza clearly tatizo la gari lako.
Kwa mfano kutowaka kwa gari kupo kwa aina mbili na solution zake hazifanani.
1. No start, No engine Cranking.
2. No start, engine Cranking.
Cranking ni engine engine inazunguka lakini haipokei,
No cranking yaani ukiwasha husikii chochote.
Tuje kwako mtoa maada.
Inaonekana engine yako inacrank ila kuna muda unapokea na kuwaka na kuna muda haipokei kabisa.
Kama engine haipokei basi huwa kuna msululu wa sababu.
Ila to cut the story short ambacho huwa tunaangalia ni kama cheche zinatoka kwenye spark plug na kama mafuta yanafika kwenye engine.
Kama hivyo vitu viwili vikiwa sawa kafanye diagnosis maana kuna msururu wa sensors kadhaa ambazo zina tabia hiyo na mojawapo ambayo imezoeleka ni Crankshaft Position Sensor.
Ukisema moto unafika unakuwa haueleweki.
#
Karibu tukufanyie diagnosis na tukurekebishie matatizo ya gari lako. Hata kama tatizo umedumu nalo kwa muda mrefu. Gari yoyote ndogo kampuni yoyote.
Tupo Dar, Magomeni Mwembechai.
Tupigie 0621 221 606.