Msaada wakisheria tumetapeliwa nyumba

Msaada wakisheria tumetapeliwa nyumba

Ahsante kaka kuna tajiri 1 tuli muuzia nyumba yetu yaurthi tulukua 6 natulikua na nyumba 2 na shamba .nahati zetu tuli zihifadhi mahaka mahakamani tulivyo uza ile nyumba moja kati ya mbili tulimwmbia yule tahiri kua hatizetu zipo mahakamani lakini Fail tumelisahau akasema msijali nnawtu wangu ntawatuma wata zitafuta nikizipata ntachukua ya kwangu ambayo tumeuziana yakwenu ntarejesha basi jamaa akafatilia akazipata akatuita akasema nimeona hti ambayo mmeniuzia na hti ya shamba hiyo nyumba nyengine sijaiona so akarudisha hati ya shamba Kumbe alitudanganya aliziona zote akarudisha shamba zile zanyumba akacukua akatumia zile docmt za mauziano za mwanzo kubadilisha nyumba ya pili so aka hamisha umiliki Akaenda kwenye kampuni ya cement Akachuka cement zenye thamani ya milion 400 na akaweka bondi ile nyumba yetu baala yakwake sasa kalipa madeni ikabaki m60 akawa anasumbua kuwalipa walejamaa ikabidi waitafute nyumba ndo wakaja kwetu ndipo wakatufumbua macho kufatilia nikweli nyumba imebadishwa umiliki basi tukamfata tukamweleza akakiri kweli lakini akasema yy alikua hajui kwa sababu yy anyumba nyingi kwahiyo manasheria wake alichanganya yupo taya kubadisha umiliki nakuturudisha .Akasema hivyo bt Mpaka ss tukimfata anatuzungusha tu nisaidi mkuu nduguzetu niwadogo ndo tegemeo letu hiki kibanda 0687955648
Ili uweze kupata msaada mzuri wa kisheria kwanza useme nyumba ipo wapi,na na issue ina muda gani tangia imetokea,je kunamakubaliano yoyote ya kimaandishi,je
Dhamani ya nyumba inaweza kuwa kiasi gani,benki ilichukuliwa mkopo ni ipi, na kwanini hati zilikuwa mahakamani hapo unaweza kutoa mwanga kupata msaada ndugu
 
Mtegemea Cha ndugu hufa masikini
 
Kama huyo tajiri ni mchaga basi mmekwisha, maana hao ndiyo wako radhi wafanye chochote kile hata Kama ni kibaya mradi wazulumu Aridhi za watu!! Pambana Mkuu usimlegezee, maana hapo bado anakutega!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
PRIMUS MUSHI?

Refer thread ya somebody SDL aliifungua hapa akimlalamikia jamaa kwa kudhulumu nyumba za Wazaramo wazawa wa hapo Dar.
 
Na kama huyo tajiri sio mchaga unashauri afanyaje?
Ampelekee Viongozi wa Dini,,kabla hawajaenda Mahakamani, maana angaalau hao Wana hofu Mungu ya ukweli! Siyo Kama chaga,linapokuja swala la kuzulumu Aridhi Mungu anawekwa pembeni kwa muda! Japokua siyo wote! Ila Majority yao wako hivyo!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ampelekee Viongozi wa Dini,,kabla hawajaenda Mahakamani, maana angaalau hao Wana hofu Mungu ya ukweli! Siyo Kama chaga,linapokuja swala la kuzulumu Aridhi Mungu anawekwa pembeni kwa muda! Japokua siyo wote! Ila Majority yao wako hivyo!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Oh sikujua kumbe kesi zote za ardhi zilizojaa mahakama ya ardhi ni za wachaga kwasababu hiyo uliyosema kuwa hawamuogopi Mungu.
 
Pole sana, ila kwa wanaosoma hii coment fanyeni mpango mali zako ziwe chini ya holding company yako na sio jina lako kuepusha migogoro na itakapotokea kifo basi mali zako hazitaguswa na wasiohusika.
 
Ahsante kaka kuna tajiri 1 tuli muuzia nyumba yetu yaurthi tulukua 6 natulikua na nyumba 2 na shamba .nahati zetu tuli zihifadhi mahaka mahakamani tulivyo uza ile nyumba moja kati ya mbili tulimwmbia yule tahiri kua hatizetu zipo mahakamani lakini Fail tumelisahau akasema msijali nnawtu wangu ntawatuma wata zitafuta nikizipata ntachukua ya kwangu ambayo tumeuziana yakwenu ntarejesha basi jamaa akafatilia akazipata akatuita akasema nimeona hti ambayo mmeniuzia na hti ya shamba hiyo nyumba nyengine sijaiona so akarudisha hati ya shamba Kumbe alitudanganya aliziona zote akarudisha shamba zile zanyumba akacukua akatumia zile docmt za mauziano za mwanzo kubadilisha nyumba ya pili so aka hamisha umiliki Akaenda kwenye kampuni ya cement Akachuka cement zenye thamani ya milion 400 na akaweka bondi ile nyumba yetu baala yakwake sasa kalipa madeni ikabaki m60 akawa anasumbua kuwalipa walejamaa ikabidi waitafute nyumba ndo wakaja kwetu ndipo wakatufumbua macho kufatilia nikweli nyumba imebadishwa umiliki basi tukamfata tukamweleza akakiri kweli lakini akasema yy alikua hajui kwa sababu yy anyumba nyingi kwahiyo manasheria wake alichanganya yupo taya kubadisha umiliki nakuturudisha .Akasema hivyo bt Mpaka ss tukimfata anatuzungusha tu nisaidi mkuu nduguzetu niwadogo ndo tegemeo letu hiki kibanda 0687955648
Tuvitu hivi ndiyo maana unasikia Luna watu wanauliwa bila kujua sababu za kufanya hivyo.....

UNADHULUMU MALI ZA WATU KWA AJILI YA NINI? Hivi watu wakitibukwa nyongo hauwezi kuharibiwa au kupotezewa familia????

Ambacho watu gawajui ni kuwa mwanadamu pamoja na umasikini wake akitibukwa na akaamua kulipa kisasi hashindi.... sasa uharibikiwe kiss TUNYUMBA TWA MILIONI KADHAA?????
 
Pole sana, ila kwa wanaosoma hii coment fanyeni mpango mali zako ziwe chini ya holding company yako na sio jina lako kuepusha migogoro na itakapotokea kifo basi mali zako hazitaguswa na wasiohusika.
Fafanua
 
Ili uweze kupata msaada mzuri wa kisheria kwanza useme nyumba ipo wapi,na na issue ina muda gani tangia imetokea,je kunamakubaliano yoyote ya kimaandishi,je
Dhamani ya nyumba inaweza kuwa kiasi gani,benki ilichukuliwa mkopo ni ipi, na kwanini hati zilikuwa mahakamani hapo unaweza kutoa mwanga kupata msaada ndugu
Sawa kk naomba nikutafute pembeni nikupe full ditails
 
Nenda kwa msajili wa Ardhi kwanza muangalie status ya hati, kama hakuna transfer iliyofanyika, tafuta mwanasheria m-file caveat kwa msajili kuzuia transfer kufanyika huku mkiendelea na taratibu nyingine ikiwemo kuomba hati mpya.
Stutus iko hv hatiishafanyiwa transfer miaka 2 nyuma inasoma jinalake nahiyo copy ya hati tunayo ambayo imefaniwa transfar na kopi ya asili pia ipo
 
Habari wakuu mwenzenu nahitaji msaada tumetapeliwa hati ya nyumba na tajiri mmoja mjini hapa naomba msaada wakisheria kama tunaweza kufanikiwa au laa, kama mtaniruhusu plz naomba niendelelee.
Kuna tajiri 1 tulimuuzia nyumba yetu ya urithi tulikua 6 na tulikua na nyumba 2 na shamba. Na hati zetu tuli zihifadhi mahakamani tulivyouza ile nyumba moja kati ya mbili tulimwambia yule tajiri kua hati zetu zipo mahakamani lakini Fail tumelisahau akasema msijali nina watu wangu nitawatuma wata zitafuta nikizipata nitachukua ya kwangu ambayo tumeuziana ya kwenu nitarejesha

Basi jamaa akafatilia akazipata akatuita akasema nimeona hati ambayo mmeniuzia na hati ya shamba hiyo nyumba nyIngine sijaiona so akarudisha hati ya shamba Kumbe alitudanganya aliziona zote akarudisha shamba zile za nyumba akachukua akatumia zile document za mauziano za mwanzo kubadilisha nyumba ya pili so aka hamisha umiliki Akaenda kwenye kampuni ya cement

Akachuka cement zenye thamani ya milion 400 na akaweka bondi ile nyumba yetu badala ya kwake sasa kalipa madeni ikabaki m60 akawa anasumbua kuwalipa walejamaa ikabidi waitafute nyumba ndio wakaja kwetu ndipo wakatufumbua macho kufatilia ni kweli nyumba imebadishwa umiliki basi tukamfata tukamweleza akakiri kweli lakini akasema yeye alikua hajui kwa sababu yeye ana nyumba nyingi kwa hiyo mwanasheria wake alichanganya yupo tayari kubadirisha umiliki nakuturudisha.

Akasema hivyo but Mpaka sasa tukimfata anatuzungusha tu nisaidie mkuu ndugu zetu ni wadogo ndio tegemeo letu hiki kibanda 0687955648
 
Back
Top Bottom