ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,569
- 2,847
nyumba ipo wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili uweze kupata msaada mzuri wa kisheria kwanza useme nyumba ipo wapi,na na issue ina muda gani tangia imetokea,je kunamakubaliano yoyote ya kimaandishi,jeAhsante kaka kuna tajiri 1 tuli muuzia nyumba yetu yaurthi tulukua 6 natulikua na nyumba 2 na shamba .nahati zetu tuli zihifadhi mahaka mahakamani tulivyo uza ile nyumba moja kati ya mbili tulimwmbia yule tahiri kua hatizetu zipo mahakamani lakini Fail tumelisahau akasema msijali nnawtu wangu ntawatuma wata zitafuta nikizipata ntachukua ya kwangu ambayo tumeuziana yakwenu ntarejesha basi jamaa akafatilia akazipata akatuita akasema nimeona hti ambayo mmeniuzia na hti ya shamba hiyo nyumba nyengine sijaiona so akarudisha hati ya shamba Kumbe alitudanganya aliziona zote akarudisha shamba zile zanyumba akacukua akatumia zile docmt za mauziano za mwanzo kubadilisha nyumba ya pili so aka hamisha umiliki Akaenda kwenye kampuni ya cement Akachuka cement zenye thamani ya milion 400 na akaweka bondi ile nyumba yetu baala yakwake sasa kalipa madeni ikabaki m60 akawa anasumbua kuwalipa walejamaa ikabidi waitafute nyumba ndo wakaja kwetu ndipo wakatufumbua macho kufatilia nikweli nyumba imebadishwa umiliki basi tukamfata tukamweleza akakiri kweli lakini akasema yy alikua hajui kwa sababu yy anyumba nyingi kwahiyo manasheria wake alichanganya yupo taya kubadisha umiliki nakuturudisha .Akasema hivyo bt Mpaka ss tukimfata anatuzungusha tu nisaidi mkuu nduguzetu niwadogo ndo tegemeo letu hiki kibanda 0687955648
Mtegemea Cha ndugu hufa masikiniAhsante kaka kuna tajiri 1 tuli muuzia nyumba yetu yaurthi tulukua 6 natulikua na nyumba 2 na shamba .nahati zetu tuli zihifadhi mahaka mahakamani tulivyo uza ile nyumba moja kati ya mbili tulimwmbia yule tahiri kua hatizetu zipo mahakamani lakini Fail tumelisahau akasema msijali nnawtu wangu ntawatuma wata zitafuta nikizipata ntachukua ya kwangu ambayo tumeuziana yakwenu ntarejesha basi jamaa akafatilia akazipata akatuita akasema nimeona hti ambayo mmeniuzia na hti ya shamba hiyo nyumba nyengine sijaiona so akarudisha hati ya shamba Kumbe alitudanganya aliziona zote akarudisha shamba zile zanyumba akacukua akatumia zile docmt za mauziano za mwanzo kubadilisha nyumba ya pili so aka hamisha umiliki Akaenda kwenye kampuni ya cement Akachuka cement zenye thamani ya milion 400 na akaweka bondi ile nyumba yetu baala yakwake sasa kalipa madeni ikabaki m60 akawa anasumbua kuwalipa walejamaa ikabidi waitafute nyumba ndo wakaja kwetu ndipo wakatufumbua macho kufatilia nikweli nyumba imebadishwa umiliki basi tukamfata tukamweleza akakiri kweli lakini akasema yy alikua hajui kwa sababu yy anyumba nyingi kwahiyo manasheria wake alichanganya yupo taya kubadisha umiliki nakuturudisha .Akasema hivyo bt Mpaka ss tukimfata anatuzungusha tu nisaidi mkuu nduguzetu niwadogo ndo tegemeo letu hiki kibanda 0687955648
PRIMUS MUSHI?Kama huyo tajiri ni mchaga basi mmekwisha, maana hao ndiyo wako radhi wafanye chochote kile hata Kama ni kibaya mradi wazulumu Aridhi za watu!! Pambana Mkuu usimlegezee, maana hapo bado anakutega!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Siogopi wacha waje,Nina ushahidi wa kisanysi kabisa kuhusu hilo!!Wachaga wasipokupopoa kwa matusi na maneno ya kejeli niite MFALME nimekaa pale [emoji117][emoji143][emoji87]
Ampelekee Viongozi wa Dini,,kabla hawajaenda Mahakamani, maana angaalau hao Wana hofu Mungu ya ukweli! Siyo Kama chaga,linapokuja swala la kuzulumu Aridhi Mungu anawekwa pembeni kwa muda! Japokua siyo wote! Ila Majority yao wako hivyo!!Na kama huyo tajiri sio mchaga unashauri afanyaje?
Oh sikujua kumbe kesi zote za ardhi zilizojaa mahakama ya ardhi ni za wachaga kwasababu hiyo uliyosema kuwa hawamuogopi Mungu.Ampelekee Viongozi wa Dini,,kabla hawajaenda Mahakamani, maana angaalau hao Wana hofu Mungu ya ukweli! Siyo Kama chaga,linapokuja swala la kuzulumu Aridhi Mungu anawekwa pembeni kwa muda! Japokua siyo wote! Ila Majority yao wako hivyo!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Tuvitu hivi ndiyo maana unasikia Luna watu wanauliwa bila kujua sababu za kufanya hivyo.....Ahsante kaka kuna tajiri 1 tuli muuzia nyumba yetu yaurthi tulukua 6 natulikua na nyumba 2 na shamba .nahati zetu tuli zihifadhi mahaka mahakamani tulivyo uza ile nyumba moja kati ya mbili tulimwmbia yule tahiri kua hatizetu zipo mahakamani lakini Fail tumelisahau akasema msijali nnawtu wangu ntawatuma wata zitafuta nikizipata ntachukua ya kwangu ambayo tumeuziana yakwenu ntarejesha basi jamaa akafatilia akazipata akatuita akasema nimeona hti ambayo mmeniuzia na hti ya shamba hiyo nyumba nyengine sijaiona so akarudisha hati ya shamba Kumbe alitudanganya aliziona zote akarudisha shamba zile zanyumba akacukua akatumia zile docmt za mauziano za mwanzo kubadilisha nyumba ya pili so aka hamisha umiliki Akaenda kwenye kampuni ya cement Akachuka cement zenye thamani ya milion 400 na akaweka bondi ile nyumba yetu baala yakwake sasa kalipa madeni ikabaki m60 akawa anasumbua kuwalipa walejamaa ikabidi waitafute nyumba ndo wakaja kwetu ndipo wakatufumbua macho kufatilia nikweli nyumba imebadishwa umiliki basi tukamfata tukamweleza akakiri kweli lakini akasema yy alikua hajui kwa sababu yy anyumba nyingi kwahiyo manasheria wake alichanganya yupo taya kubadisha umiliki nakuturudisha .Akasema hivyo bt Mpaka ss tukimfata anatuzungusha tu nisaidi mkuu nduguzetu niwadogo ndo tegemeo letu hiki kibanda 0687955648
FafanuaPole sana, ila kwa wanaosoma hii coment fanyeni mpango mali zako ziwe chini ya holding company yako na sio jina lako kuepusha migogoro na itakapotokea kifo basi mali zako hazitaguswa na wasiohusika.
Inahitaji muda sana mkuu, na hapa nipo bize na mambo fulani. Hivyo kama utahitaji ufafanuzi nicheki pmFafanua
Sawa kk naomba nikutafute pembeni nikupe full ditailsIli uweze kupata msaada mzuri wa kisheria kwanza useme nyumba ipo wapi,na na issue ina muda gani tangia imetokea,je kunamakubaliano yoyote ya kimaandishi,je
Dhamani ya nyumba inaweza kuwa kiasi gani,benki ilichukuliwa mkopo ni ipi, na kwanini hati zilikuwa mahakamani hapo unaweza kutoa mwanga kupata msaada ndugu
Stutus iko hv hatiishafanyiwa transfer miaka 2 nyuma inasoma jinalake nahiyo copy ya hati tunayo ambayo imefaniwa transfar na kopi ya asili pia ipoNenda kwa msajili wa Ardhi kwanza muangalie status ya hati, kama hakuna transfer iliyofanyika, tafuta mwanasheria m-file caveat kwa msajili kuzuia transfer kufanyika huku mkiendelea na taratibu nyingine ikiwemo kuomba hati mpya.
Kuna tajiri 1 tulimuuzia nyumba yetu ya urithi tulikua 6 na tulikua na nyumba 2 na shamba. Na hati zetu tuli zihifadhi mahakamani tulivyouza ile nyumba moja kati ya mbili tulimwambia yule tajiri kua hati zetu zipo mahakamani lakini Fail tumelisahau akasema msijali nina watu wangu nitawatuma wata zitafuta nikizipata nitachukua ya kwangu ambayo tumeuziana ya kwenu nitarejeshaHabari wakuu mwenzenu nahitaji msaada tumetapeliwa hati ya nyumba na tajiri mmoja mjini hapa naomba msaada wakisheria kama tunaweza kufanikiwa au laa, kama mtaniruhusu plz naomba niendelelee.