Msaada wako kwa huyu mdada tafadhali

Msaada wako kwa huyu mdada tafadhali

finest hapo juu umemaliza,,,
Hivi unapo mess around na mwanaume wa mtu na huku ukijijua kuwa nawe una ndoa yako halafu ghafla bin vuuu ishu kama hizo zinatokea hapo utaanza vipi kumshauri mtu, tena wakati wanafanya pekupeku kama vile wameambiwa chako changu, changu chako walitegemea mimba insingeshika na patamu zaidi huyu ana mumewe na yule naye ana mke
 
Simshauri huyu kutoa mimba kwasababu ameshamsaliti jamaa yake, basi ajifungue tu na kuhusu ndoa yao watayazungumza jamaa akijakumaind basi hamna ujanja. Hayo ndio madhara ya kukaa mbali na mwenzi wako inauma sana.
 
hapo sasa!result ya cheating ndo hiyo!inashangaza na kusikitisha!finest suppose is ur own sisy and she needs u for the same case,what would u say to her?
 
Najaribu kutafakari kwa umakini sana kuhusu ili sakata la huyu bidada,
naona mambo ni magumu kweli,kutoa mimba ni dhambi na uuaji,
kutoka nje ya ndoa yako na kufikia kuzaa napo ni dhambi mbele ya mwenyezi mungu!,
Nachoweza kusema hapo ni kwamba,

Tukiangalia na uhalisia wa maisha yetu tunayoishi kwa sasa (hapa bongo)
haya mambo yanatokea/yameshawahi kutokea sana kwenye familia nyingi tu,
kwa mfano, unaweza kukuta familia ina watoto 4, lakini mmoja akawa sio zao la baba na mama!!!!!
Hii ina maana kwamba huyu dada amefanya kurudia makosa ambayo wengi tumekuwa tukiyafanya,
Yawezekana kabisa alizoea huo mchezo na mwishowe akaja kuona,
ni halali tu kutembea na mme wa mtu, kwa kuwa hata wengi wanaomzunguka katika maisha yake wanafanya hivyo pia!!!

USHAURI:
Ajaribu kutafakari kama bado anampenda mumewe,
na kama bado anampenda kweli, basi aitoe hiyo mimba ili anusuru ndoa yake!
Aachane na vitisho vya huyo mwanaume mwizi, kuwa asiitoe hiyo mimba!kwani huo ni upuuzi tu!
Lakini kama huyu dada hana mapenzi ya dhati na huyo mumewe, na hamwitaji tena katika maisha yake basi anaweza kuendelea kuitunza hiyo mimba!Na kusubiri kumlea mtoto!!

NI MCHANGO WANGU TU WAUNGWANA!!!
 
Asisubiri mimba/mtoto awe mkubwa kama tuliowaona wametupwa Mwananyamala hospaital.

Akizaa lazima ndoa ife tu, na hilo jamaa lililo mpa mimba litadai mtoto maana limeshaonyesha nia hiyo.

Lakini kutoa mimba nako kunatisha, licha ya kwamba mimi ni mwanaume ila hadithi nilizosikia, loh, hatari!
 
Najaribu kutafakari kwa umakini sana kuhusu ili sakata la huyu bidada,
naona mambo ni magumu kweli,kutoa mimba ni dhambi na uuaji,
kutoka nje ya ndoa yako na kufikia kuzaa napo ni dhambi mbele ya mwenyezi mungu!,
Nachoweza kusema hapo ni kwamba,

Tukiangalia na uhalisia wa maisha yetu tunayoishi kwa sasa (hapa bongo)
haya mambo yanatokea/yameshawahi kutokea sana kwenye familia nyingi tu,
kwa mfano, unaweza kukuta familia ina watoto 4, lakini mmoja akawa sio zao la baba na mama!!!!!
Hii ina maana kwamba huyu dada amefanya kurudia makosa ambayo wengi tumekuwa tukiyafanya,
Yawezekana kabisa alizoea huo mchezo na mwishowe akaja kuona,
ni halali tu kutembea na mme wa mtu, kwa kuwa hata wengi wanaomzunguka katika maisha yake wanafanya hivyo pia!!!

USHAURI:
Ajaribu kutafakari kama bado anampenda mumewe,
na kama bado anampenda kweli, basi aitoe hiyo mimba ili anusuru ndoa yake!
Aachane na vitisho vya huyo mwanaume mwizi, kuwa asiitoe hiyo mimba!kwani huo ni upuuzi tu!
Lakini kama huyu dada hana mapenzi ya dhati na huyo mumewe, na hamwitaji tena katika maisha yake basi anaweza kuendelea kuitunza hiyo mimba!Na kusubiri kumlea mtoto!!

NI MCHANGO WANGU TU WAUNGWANA!!!

Lakini bacha dhambi ya kutoa mimba ni mbaya zaidi ya ile ya kuzaa, kuzaa nje ya ndoa endapo mme wake akimsamehe hy dhambi inaweza kufutika, ila kuua mi naogopa.
 
hapo sasa!result ya cheating ndo hiyo!inashangaza na kusikitisha!finest suppose is ur own sisy and she needs u for the same case,what would u say to her?

Khaaaaaa!!!! Ngoja :coffee::coffee::coffee: will be right back lol!!!!!!
 
Hivi unapo mess around na mwanaume wa mtu na huku ukijijua kuwa nawe una ndoa yako halafu ghafla bin vuuu ishu kama hizo zinatokea hapo utaanza vipi kumshauri mtu, tena wakati wanafanya pekupeku kama vile wameambiwa chako changu, changu chako walitegemea mimba insingeshika na patamu zaidi huyu ana mumewe na yule naye ana mke

Leo tutayasikia mengi
 
Anataka ushauri gani huyo naye? Alipokuwa anabanjuka pekupeku si alijua ana kizazi ama hana watoto hajawahi kuzaa na hapati siku zake kuashiria mayai yanapevuka? Afanye kile alichokuwa amekipanga toka awali maana alijua fika kuwa mchezo wa ngono kati ya watu wazima matokeo yake ni mimba! Inakera kweli, ati ushauri.
 
Najaribu kutafakari kwa umakini sana kuhusu ili sakata la huyu bidada,
naona mambo ni magumu kweli,kutoa mimba ni dhambi na uuaji,
kutoka nje ya ndoa yako na kufikia kuzaa napo ni dhambi mbele ya mwenyezi mungu!,
Nachoweza kusema hapo ni kwamba,

Tukiangalia na uhalisia wa maisha yetu tunayoishi kwa sasa (hapa bongo)
haya mambo yanatokea/yameshawahi kutokea sana kwenye familia nyingi tu,
kwa mfano, unaweza kukuta familia ina watoto 4, lakini mmoja akawa sio zao la baba na mama!!!!!
Hii ina maana kwamba huyu dada amefanya kurudia makosa ambayo wengi tumekuwa tukiyafanya,
Yawezekana kabisa alizoea huo mchezo na mwishowe akaja kuona,
ni halali tu kutembea na mme wa mtu, kwa kuwa hata wengi wanaomzunguka katika maisha yake wanafanya hivyo pia!!!

USHAURI:
Ajaribu kutafakari kama bado anampenda mumewe,
na kama bado anampenda kweli, basi aitoe hiyo mimba ili anusuru ndoa yake!
Aachane na vitisho vya huyo mwanaume mwizi, kuwa asiitoe hiyo mimba!kwani huo ni upuuzi tu!
Lakini kama huyu dada hana mapenzi ya dhati na huyo mumewe, na hamwitaji tena katika maisha yake basi anaweza kuendelea kuitunza hiyo mimba!Na kusubiri kumlea mtoto!!

NI MCHANGO WANGU TU WAUNGWANA!!!

Hapo kwenye red big up kijana umeongea kweli kabisa

Sijawahi kukugongea thanks leo nafanya hivyo hebu soma hapa chini
The Following User Says Thank You to bacha For This Useful Post:

Dena Amsi (Today)​
 
ningekua mimi wala nisingefikiri mara2 kwenda kuitoa hiyo mimba...huyo mdada kama ameichoka ndoa yake azae halafu aone....kwanza kacheat pili anataka kumzalia hawara...mi ningekua mumewe nkisikia hyo habari ni talaka 3....na hivi mtu mzima anataka kudanganywa kirahisi hivyo y? HIVI KWA MAWAZO YAKE HUYO HAWARA YAKE ATAMWACHA MKEWE AKAE NA YEYE......UPUUZI MTUPU......EMBU AKATOE MIMBA HIYO.....AKAE AMSUBIRI MUMEWE......ULIMBUKENI TUU...huyo hawara mwache aende...
 
Duh hii point kali kweli akatoe mimba jamani nyie watu nyie
 
Hapo kwenye red big up kijana umeongea kweli kabisa

Sijawahi kukugongea thanks leo nafanya hivyo hebu soma hapa chini
The Following User Says Thank You to bacha For This Useful Post:

Dena Amsi (Today)​

Du, kweli leo DA,kumekucha uzuri,
naiweka kumbukumbu kwenye NOTE BOOK,
just for future reference!!!
 
Du, kweli leo DA,kumekucha uzuri,
naiweka kumbukumbu kwenye NOTE BOOK,
just for future reference!!!

Mie leo nina furaha kweli mwenzio

Haya bana ukinifurahi kabla siku haijakwisha nitakugongea nyingine
 
dena laghute!naomba unigongee senks lkn usichakachue sred ya watu pliiz,,hapa ni siriaz issue ujue
 
Thread za siku ni chat room wewe hujui tu. Thanks ya ngapi unataka wewe? Kwa kuwa leo nina furaha sana haya soma hapo chini

The Following User Says Thank You to WiseLady For This Useful Post:

he!kweli leo uko vizuri!haya nimeshakuonya usichakachue sred lkn
 
Back
Top Bottom