Juzi nilifix Tecno w4 iliyokuwa na hiyo shida ya power button.Uwezekano mkubwa ni Button ya power inajishikilia chini kwahiyo ni kama inajiwasha yenyewe na kujizima
Safi sana wewe naye kumbe ni fundi, hizo simu za Tecno W series na Tecno Y series ni vimeo sana zikichoka na ic zake nazo ni bei inabidi fundi akushauri kubadili saketi au kununua simu mpya.
Lakini wakati mwingine wawezapoteza hela ukikataa, mfano tecno t340 wawezaletewa ina shida ya mic ukaikataa kumbe ukibadilisha tu inakubali, au itel 2090 white display hii bado sijapata solution yake.Hizi simu ni pasua sana kwanza kuflash huwa nazikataa [emoji16] mteja anaweza kukwambia irudishe tu ilivyokuwa.
Hizi simu ni pasua sana kwanza kuflash huwa nazikataa [emoji16] mteja anaweza kukwambia irudishe tu ilivyokuwa.
inakuwa ugomvi mkubwa km ndo kakuachia anafuata baadaye anaweza hata kukwambia umebadirisha VIFAA mtihani kwa mafundi ikitokea stage hiyo