Msaada wakuu hii simu ina mapepo au?

Msaada wakuu hii simu ina mapepo au?

Tanki

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
538
Reaction score
246
Wakuu habari za muda huu. ninan shida hapa kwenye hiisimu yangu ambayo ni tecno W3.

Hii simu sasa hivi nikiiweka tu betri inajiwasha yenyewe kabla hata sijaiwasha.

Na ikijiwasha inaandika tu neno tecno arafu inaganda hivyo hivyo baada sekunde kama kumi hivi inajizima na kujiwasha tena yenyewe.

So inakuwa inafanya hivyo hivyo tu yaani kwenye MENU haifiki. NAOMBA MSAADA WAKUU. NINI KIFANYIKE ILI IWE UFUMBUVI. Shukrani, naomba kuwasilisha.
 
Batani ya power on/ off inashot muda wote imejipress kwahiyo ukiweka betry inawasha sim at the same time inapowaka inajipress kuzima so kabadili mkanda wa hizo batani au kasafishe.
 
Hizo Tecno W3 kuna muda saketi huwa inachoka na saketi ikichoka huwa inafanya hivyo kama inavyofanya simu yako.

Hapo hata ukienda kuflash haitaweza kupona bali inaweza kukuzimia na kumlaumu fundi, sasa cha kufanya jaribu kutafuta saketi mpya au nenda kwa fundi hardware aweze ku heat kidogo na bloa.

Hizo simu ni sawa na matatizo yanawiana na Tecno Y2, Y3+.
 
Uwezekano mkubwa ni Button ya power inajishikilia chini kwahiyo ni kama inajiwasha yenyewe na kujizima
 
Safi sana wewe naye kumbe ni fundi, hizo simu za Tecno W series na Tecno Y series ni vimeo sana zikichoka na ic zake nazo ni bei inabidi fundi akushauri kubadili saketi au kununua simu mpya.
 
Safi sana wewe naye kumbe ni fundi, hizo simu za Tecno W series na Tecno Y series ni vimeo sana zikichoka na ic zake nazo ni bei inabidi fundi akushauri kubadili saketi au kununua simu mpya.

Hizi simu ni pasua sana kwanza kuflash huwa nazikataa [emoji16] mteja anaweza kukwambia irudishe tu ilivyokuwa.
 
Hizi simu ni pasua sana kwanza kuflash huwa nazikataa [emoji16] mteja anaweza kukwambia irudishe tu ilivyokuwa.
Lakini wakati mwingine wawezapoteza hela ukikataa, mfano tecno t340 wawezaletewa ina shida ya mic ukaikataa kumbe ukibadilisha tu inakubali, au itel 2090 white display hii bado sijapata solution yake.
 
Hizi simu ni pasua sana kwanza kuflash huwa nazikataa [emoji16] mteja anaweza kukwambia irudishe tu ilivyokuwa.

inakuwa ugomvi mkubwa km ndo kakuachia anafuata baadaye anaweza hata kukwambia umebadirisha VIFAA mtihani kwa mafundi ikitokea stage hiyo
 
inakuwa ugomvi mkubwa km ndo kakuachia anafuata baadaye anaweza hata kukwambia umebadirisha VIFAA mtihani kwa mafundi ikitokea stage hiyo

Hapo ndo tatizo linapoanzia atakwambia nimeleta simu inawaka sasa hivi haiwaki
 
Back
Top Bottom