CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 12,134
- 27,519
We jidanganye mkuu,MTAALAM AKAISHIA KUSEMA HIV SIO UGONJWA NI .....
Mwandishi alikuwa DeceptionHabari wakuu.
Poleni kwa kuwashtua.
Poleni kwa Kuwapa tension.
Kuna Bonge la Uzi niliwahi kusoma Mwaka 2020 miaka Takriban 7 Iliyopita.
UZI ULIKUWA UNAELEZEA KWA UNDANI MNO KUHUSU HUU HISTORJA YA UGONJWA, KISAYANSI, KIRUSI CHAKE KILIVYO, NA MTAALAM AKAISHIA KUSEMA HIV SIO UGONJWA NI .....
AKAWLEZA NAUKUMBUKA HUO UZI YAFADHARI,.
Sina kitu cha kuniongezea Maarifa weekend hii.
Nimeutafuta sana Ule uzi bila Mafanikio.
Sitaki kuamini kama uongozi wa Jamii Forum ulifuta ule uzi,
ASANTENI SANA.
🙏
Kivipi?nadiriki kusema 98% wapo sahihi kuwa ARV ndio ANAYEUA MTU kwa kisingizio cha uyo HIV.
Yule jamaa mwenye Uzi nahisi namkumbuka kama Id yake inaanzia na D.... Yule naona alikua mwanafunzi mtiifu wa Dr sebi na Ule Uzi aliwapeleka mbio sana Ma dr, kama ni huo....Habari wakuu.
Poleni kwa kuwashtua.
Poleni kwa Kuwapa tension.
Kuna Bonge la Uzi niliwahi kusoma Mwaka 2020 miaka Takriban 7 Iliyopita.
UZI ULIKUWA UNAELEZEA KWA UNDANI MNO KUHUSU HUU HISTORJA YA UGONJWA, KISAYANSI, KIRUSI CHAKE KILIVYO, NA MTAALAM AKAISHIA KUSEMA HIV SIO UGONJWA NI .....
AKAWLEZA NAUKUMBUKA HUO UZI YAFADHARI,.
Sina kitu cha kuniongezea Maarifa weekend hii.
Nimeutafuta sana Ule uzi bila Mafanikio.
Sitaki kuamini kama uongozi wa Jamii Forum ulifuta ule uzi,
ASANTENI SANA.
🙏
kiaje aje hapoHizo nyuzi zipo mbili tu ambazo ndio zinachambua uongo wa ugonjwa huu feki.
1. Mambo 10 usiyoyajua kuhusu ugonjwa wa HIV
2. Je, ninaweza nikalala na muathirika wa HIV na nisiambukizwe? Humu ndani mkuu deception kadadavua sana saaana ufeki wa huu ugonjwa.
Nimewahi kufanya kazi taasisi ya kiserikali ya Cancer. Wasemacho jamaa ktk hizo nyuzi kuhusu ufeki wa huo ugonjwa na madhara ya ARV, nadiriki kusema 98% wapo sahihi kuwa ARV ndio ANAYEUA MTU kwa kisingizio cha uyo HIV.
Hapana sister sio huu.Huu??
Habari wanaJF,
Mods nawaombeni kwa nia ya dhati naombeni huu uzi ubakie hapa kwenyw jukwaa la habari na hoja mchanganyiko.....kwani hapa ni jukwaa la ujumla hoja mchanganyiko...
Tuanze hivi...
Unajua hii dunia biashara za makampuni makubwa zimekua haziishi
Toka lini Ukosefu wa kinga mwilini ukaambukizwa?
Toka lini ukose kinga mwilini ishuke badala ya kuambiwa ule vyakula vya kupandisha kinga unaambiwa meza dawa maisha yako yote
Haya mambo toka huu mwaka uanze nimeanza kuhisi ni biashara tu hapa
Hivi mimi niwe na upungufu wangu wa kinga ya mwili kwa kua nazembea kula vizur...
- kimsboy
- Replies: 284
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Mimi sio mzinzi wala Mzinifu mkuu.We jidanganye mkuu,
Nenda pale kimboka mwezi mzima uwapige wale milupo kavu kavu alafu uone kitachokutokea
Alieandika huo uzi kwanza athibitishe kwa kutembea na mtu mwenye ngoma tuone kama hatapata tofauti na hapo ni stori nyingine tamu za JF.
Asante sana Mkuu.
Nimejaribu kumfuatilia inawezekana uzi wake ulifutwa
Naye hajaonekana Jukwaani kwa kipindi cha takriban Miaka Minne.
Asante sana Mkuu.