Msaada wakuu, kuna mtu anaweza kuniangalizia namba ya NIDA?

muafi

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
2,557
Reaction score
6,128
Habari zenu, nimekwama nahitaji kuangalia namba ya NIDA ya binti yangu, ila nikiingia kwenye wrbsite ya NIDA naingiza taarifa vzur inagoma!

Mwenye uwezo wa kunisaidia wakuu🙏
 
Unateseka nn nenda ofisi za NIDA wape jina wanakupa namba yako hawana kazi wanakaa tu ofisini na kupiga umbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…