Msaada wakuu namna gani Alibaba wanaship product kwa mteja

Inanigomea kufanya malipo niko na NMB wallet na Absa visa card na zote zimegoma,ila absaa niliunga na paypal fresh,sasa sielew nakwama wapi.
 
Inanigomea kufanya malipo niko na NMB wallet na Absa visa card na zote zimegoma,ila absaa niliunga na paypal fresh,sasa sielew nakwama wapi.View attachment 2170536
Hii ipo kwa sasa nimeona kuna baadhi ya product zimeandikwa bei zake chini sana mfano memory card unakuta imendikwa 205Tshs ukijaribu kulipia inagoma kama hivo lakini product nyingine zinakubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…