Msaada wakuu, nimekamata SMS za mke wangu akichati na kijana mdogo mambo ya ajabu

Kaka hapo huna mke.
Keshazoea kwenda Mombasa, hakufai
Mrudishe kwao.......
 
Pole sana Mkuu, hilo ni jambo kubwa sana, kiasi kwamba hata sijui nitoe ushauri gani. Kilichotokea kwenye ndoa yako kimenikwaza kwelikweli. Sijui una mke wa aina gani! Ah!

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ