Msaada wakuu nimekumbwa na tatizo kubwa sana!!!!!

kaffir

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2018
Posts
595
Reaction score
387
Wakuu naombeni ushauri!!! Nina miaka 28 na nilianza kuangalia pornography nikiwa form two japo niliangalia mara moja ...kwenye saloon ya rafiki yangu miaka kama kumi iliyopita. Kufika form six...shule flani hivi kila mwanafunz akawa na simu kipindi hicho fb ndo deal .. Basi niliangalia sana porn kwa miaka miwili. Kufika chuo... Nikawa addicted!!!!! Nikaangalia porn saaana kiasi kwamba hata hamu ya ngono ikakata !!!!! Baadae nastuka .... Nikapata mbunye flan hivi....kufika ghetto ....jambo lisilo la kawaida likatokea.... Mwili ulishuka joto hadi baridi ikaanza kunipata nikashindwa hata kudindisha!!!! ...baadae tena nikapata mbunye nyingine...kuenda bao moja ...basi sikurudia tena ..hela ikaliwa bure...na nikapoteza muda bure. Nikatafuta dawa za masai ...dawa flan hivi unakoroga kwenye chai unakunywa...ikabaki kuwa bao moja tu. Na mgongo unauma ...sipati hata raha sipati...nikabadili mmasai ....yaleyale..!!! Nikakata tamaa ya mapenzi na ukumbuke tangu la kwanza hadi form siksi sikuwahi kuwa na demu niliogopa sana UKIMWI nikamezwa na pornography!!!!!!!!!!!! Nakumbuka dem flan tuko form 3 aliwah hata kudiriki kumwambia rafiki yangu nimkubalie ila nilikataaa!! Sasa nimemaliza chuo nina mchumba nataka kuoa ila naona hatari kubwa na aibu inaninyemelea kwa kuwa na upungufu wa nguvu za kiume...najuta ila ....kwa sasa tangu mwezi wa saba porn nimeacha hata kuangalia na sijatest kuona kama nguvu jata angalau za kumridhisha dem kama nnazo.mchumba wangu ananipenda ila sidhani kama anaweza vumilia suala la kuridhishwa kimapenzi tukioana. Nimechoka maisha ya kibachela ila "nguvu za kiume " ndo zinaniweka matatani kutooa kwa wakati na kwa kweli inaniuma sana sana Sana sana kutokuwa na uwezo huo. Naombeni ushauri maoni na nasaha pamoja na tiba jamani...yamenikuta haya ...!!!!!! MUNGU NISAMEHE MADHAMBI YANGU YOTE ..NATUBU KWAKO.AMEEN!!!
 
Pole sana mkuu hiyo mindset tu ukishaacha kujiona kuwa hauna nguvu za kiume utaperform fresh.

Be real gentleman kwa nini uanze kutumia dawa za kimasai,
--Fanya mazoezi (Joging) Asubuhi na jioni.

--kunywa Chai ya tangawizi kali bila kuchanganya majani ya chai sukari tu ndio iwepo,(Asubuhi na jioni)

--Tumia matango kwa wingi kama ndio matunda kila na mala baada ya chakula.

--kunywa maji mengi kurecycle blood circulation.

-- Uza smatphone yako nunua simu ya kitochi ili uache kabisa kucheki porn at least miezi 3,ukiendelea kubaki nayo lazima utatamani uperuzi site za ngono.

Mwisho ukifanya hayo niliyokuambia zikipita wiki 2 njoo ulete mrejesho hapa.

Nb:
Acha kabisa ushauri wa kutumia Dawa za kuongeza nguvu eg Fumbi la kongo.
 
kwan nani ambaye amekuambia nguvu za kiume kila mtu anazo..?
em orodhesha ambao wana power of kiume halafu fata wanavyoishi,
 
Nadhani kukosa Nguvu za kiume ni mjumuisho wa mambo mengi..woga, stress,chakula(chips chips) na mengineyo!! kuna wale wanachama Hai wa Chaputa wana more than ten years Lakini wakipata gemu wanapiga kanakwamba hakuna kitu..!! cheza na hisia zako tu

Kula matunda mfano Tikiti na mbegu zake,mihogo, Mbegu za maboga na maboga yenyewe,karanga kwa wingi..uje ulete mrejesho..Usipende sana kutumia madawa ya kuongeza nguvu iwe ya asili au vidonge!! Amini katika vyakula vya asili
 
Pole sana aisee na afadhali huyo demu awe bikra ila kama ni fuko la Rambo utajuta mkuu.

Ni Hatari Sana.
 
Kwa uzoefu na nilivyoelewa...'huo ndio uwezo wako'...masta haiihusiki pakubwa hivyo..

yaani gari yako ni ya kusukuma...(Low battery) hadi uchaji

nilikuwa bingwa wa 'masta' ikaenda ikaja picha za x.Na sasa porn kwa simu...na game napiga kama Messi dk 90 uwanjani.![emoji51]

Ushauri labda ufanye mazoezi ya kutosha na Mara kwa Mara.
 
Kuna muda kumbe IQ yako hupanda hadi kufikia 0.2566. teeh teeh!!!
Pole sana mkuu hiyo mindset tu ukishaacha kujiona kuwa hauna nguvu za kiume utaperform fresh.

Be real gentleman kwa nini uanze kutumia dawa za kimasai,
--Fanya mazoezi (Joging) Asubuhi na jioni.

--kunywa Chai ya tangawizi kali bila kuchanganya majani ya chai sukari tu ndio iwepo,(Asubuhi na jioni)

--Tumia matango kwa wingi kama ndio matunda kila na mala baada ya chakula.

--kunywa maji mengi kurecycle blood circulation.

-- Uza smatphone yako nunua simu ya kitochi ili uache kabisa kucheki porn at least miezi 3,ukiendelea kubaki nayo lazima utatamani uperuzi site za ngono.

Mwisho ukifanya hayo niliyokuambia zikipita wiki 2 njoo ulete mrejesho hapa.

Nb:
Acha kabisa ushauri wa kutumia Dawa za kuongeza nguvu eg Fumbi la kongo.
 
Duuh hapo ushaathirika kaka...!! Sasa jaribu kutumia dawa za kurudisha hizo nguvu pia Achaa kabisaa Nyetooo...
Mkuu naomba unitajie hizo dawa maana nimetumia za "wamasai" na "sikupata chochote"
 
Nadhani kukosa Nguvu za kiume ni mjumuisho wa mambo mengi..woga, stress,chakula(chips chips) na mengineyo!! kuna wale wanachama Hai wa Chaputa wana more than ten years Lakini wakipata gemu wanapiga kanakwamba hakuna kitu..!! cheza na hisia zako tu

Kula matunda mfano Tikiti na mbegu zake,mihogo, Mbegu za maboga na maboga yenyewe,karanga kwa wingi..uje ulete mrejesho..Usipende sana kutumia madawa ya kuongeza nguvu iwe ya asili au vidonge!! Amini katika vyakula vya asili
Ushauri wako ntaufanyia kazi hasa
 
Back
Top Bottom