kaffir
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 595
- 387
Wakuu naombeni ushauri!!! Nina miaka 28 na nilianza kuangalia pornography nikiwa form two japo niliangalia mara moja ...kwenye saloon ya rafiki yangu miaka kama kumi iliyopita. Kufika form six...shule flani hivi kila mwanafunz akawa na simu kipindi hicho fb ndo deal .. Basi niliangalia sana porn kwa miaka miwili. Kufika chuo... Nikawa addicted!!!!! Nikaangalia porn saaana kiasi kwamba hata hamu ya ngono ikakata !!!!! Baadae nastuka .... Nikapata mbunye flan hivi....kufika ghetto ....jambo lisilo la kawaida likatokea.... Mwili ulishuka joto hadi baridi ikaanza kunipata nikashindwa hata kudindisha!!!! ...baadae tena nikapata mbunye nyingine...kuenda bao moja ...basi sikurudia tena ..hela ikaliwa bure...na nikapoteza muda bure. Nikatafuta dawa za masai ...dawa flan hivi unakoroga kwenye chai unakunywa...ikabaki kuwa bao moja tu. Na mgongo unauma ...sipati hata raha sipati...nikabadili mmasai ....yaleyale..!!! Nikakata tamaa ya mapenzi na ukumbuke tangu la kwanza hadi form siksi sikuwahi kuwa na demu niliogopa sana UKIMWI nikamezwa na pornography!!!!!!!!!!!! Nakumbuka dem flan tuko form 3 aliwah hata kudiriki kumwambia rafiki yangu nimkubalie ila nilikataaa!! Sasa nimemaliza chuo nina mchumba nataka kuoa ila naona hatari kubwa na aibu inaninyemelea kwa kuwa na upungufu wa nguvu za kiume...najuta ila ....kwa sasa tangu mwezi wa saba porn nimeacha hata kuangalia na sijatest kuona kama nguvu jata angalau za kumridhisha dem kama nnazo.mchumba wangu ananipenda ila sidhani kama anaweza vumilia suala la kuridhishwa kimapenzi tukioana. Nimechoka maisha ya kibachela ila "nguvu za kiume " ndo zinaniweka matatani kutooa kwa wakati na kwa kweli inaniuma sana sana Sana sana kutokuwa na uwezo huo. Naombeni ushauri maoni na nasaha pamoja na tiba jamani...yamenikuta haya ...!!!!!! MUNGU NISAMEHE MADHAMBI YANGU YOTE ..NATUBU KWAKO.AMEEN!!!