IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,503
- 2,426
Simu zote hizo kasoro Note 12 5G ni simu za kizamani mkuu, binafsi ningechukua note 12 5G.Kati ya hizi simu ipi itafaa
Nokia G20_128gb 6 ram
Vivo v20_ 128 GB 6 ram
Redmi pocco X3 _128GB 6 ram
Redmi note 12 5g_ 128gb 6 ram
N.B zote nimeangalia features zake zaidi ipi iko vizuri wataalamu.
Chief-Mkwawa
Shukran Sana chief 🙏Simu zote hizo kasoro Note 12 5G ni simu za kizamani mkuu, binafsi ningechukua note 12 5G.
Mkuu Chief-Mkwawa vipi redmi k30 pro na redmi note 12 4g?Simu zote hizo kasoro Note 12 5G ni simu za kizamani mkuu, binafsi ningechukua note 12 5G.
Redmi note series zinafanya vizuri mkuuMkuu Chief-Mkwawa vipi redmi k30 pro na redmi note 12 4g?
Redmi K30 pro ni simu nzuri zaidi na flagship ya Redmi, sema ni simu ya 2020 inategemea unaipata hali gani.Mkuu Chief-Mkwawa vipi redmi k30 pro na redmi note 12 4g?
Asante kiongoziRedmi K30 pro ni simu nzuri zaidi na flagship ya Redmi, sema ni simu ya 2020 inategemea unaipata hali gani.
Vipi ushatumia hii?Nokia G20 128gm uhakika. Utanikumbuka
Nokia G20 128gm uhakika. Utanikumbuka