Jaribu tena baada ya saa 24, epuka sana kuomba verification kwa mkupuo madhara yake utazuiwa kabisa kupokea code, unapo omba subiri muda uliopangiwa wa kupokea, wakati mwingine system inakuwa busy na kutuma baada ya nusu saaWakuu nashindwa kupata verification code ya whatsap shida ni nini naombeni msaada wenu.
mi mbaka leo inagoma siletewi codeNilifanikiwa,
Ahsante kwa msaada