Msaada: Walimu waliopo kazini kwenda kusoma

Msaada: Walimu waliopo kazini kwenda kusoma

Huo mpango wa stashahada ndo umeanza mwaka jana so kutakua hakuna tofauti ya mishahara kati ya aliyesomea digrii ya sekondari na msingi ni ngoma droo na wala c ya kisiasa ni utafiti uliofanywa kwa muda mrefu na nchi za wenzetu wamefanikiwa zaidi kwa muuliza swali kama hujaelewa tutafutane nikueleweshe zaidi
 
ni miaka mi3 mkuu, unachukua dip, tena unaweza unga digree, ila ukiwa na kibendera ata ukiwa na mwez kazin unaenda chap
 
Back
Top Bottom