Msaada: Waliowahi kufanya written Interview Access Bank Microfinance position ya Recovery Loan Officer (RLO) naombeni muongozo

Benki ya kijinga sana mwaka 2018, loan officer anaenza kazi alikuwa anakunja laki 2.5
Mshahara utaongezeka kadri unavyotafuta na kuleta wateja wakukopa wengi. In short utazunguka sana mtaani kutafuta wakopaji.
Habari wakuu..!

Aliyewahi fanya usahili wa kuandika pale Access Bank Microfinnce naombeni muongozo tafadhali.

Asanteni:
 
Asante mkuu kwa taarifa ,vipi kuhusu interview zao hasa za written maswali yanakuwa ya muundo gani?
 
Benki ya kijinga sana mwaka 2018, loan officer anaenza kazi alikuwa anakunja laki 2.5
Mshahara utaongezeka kadri unavyotafuta na kuleta wateja wakukopa wengi. In short utazunguka sana mtaani kutafuta wakopaji.
kuna jamaa yangu yuko Access bank ya Temeke anakula 200k dah acha kabisa
 
Binafsi nadhani hakuna kiasi mtu akilipwa atalidhika.
Ndugu, kama una passion na kazi kuliko kuwa jobless nenda kafanye kazi.
People they work and they success in Life.
Usikatishwe tamaa
 
Pale ni kuchukua uzoefu tu ila hakuna chochote kwenye maslahi
 
Benki ya kijinga sana mwaka 2018, loan officer anaenza kazi alikuwa anakunja laki 2.5
Mshahara utaongezeka kadri unavyotafuta na kuleta wateja wakukopa wengi. In short utazunguka sana mtaani kutafuta wakopaji.
Hata wakiweka laki mbili ama laki moja kuna watu watafanya tu kazi,Ukijiona wewe umepata kuna mwingine anaitafuta uliyoidharau wewe
 
Kama ni ivyo kwa mazingira ya bank si unaiongeza mwenyewe tu hapo,
Huelewi kitu namna Access inavyofanya kazi hakuna njia utaweza kuongeza hata shilingi. Loan officer hukai ofisini kama benki nyingine bali kazi yako ni kuzunguka kutafuta wajasiriamali uwakopeshe. Access hawakopeshi watumishi
 
Kwa ufupi hao ni kama freelancer, wanalipwa hiyo posho kama nauli na chakula.

Juhudi yako ya kupata wateja wengi ndio itaamua utakunja kiasi gani kwa mwezi.
Kama unajijua kabisa kiwango chako cha masoko na kushawishi watu kununua bidhaa kipo kimo cha nyoka kama mimi, usiende utaishia kupata msongo wa mawazo na matatizo ya kiafya.

Ni utaratibu mzuri kwa wenye fani zao za marketing and sales. Marupurupu ni kutokana na unavyoleta wateja.
 
Exactly.
Unakuta mdada kaloa vumbi usoni kutafuta wateja. Chochoro zote anapita kuanzia Bonyokwa hadi mabwepande.
Kadri unavyopata wateja ndivyo mshahara wako unaongezeka
 
Habari wakuu..!

Aliyewahi fanya usahili wa kuandika pale Access Bank Microfinnce naombeni muongozo tafadhali.

Asanteni:
Niliona comments za watu wengi LinkedIn wakilalamikia benki hiyo juu ya kuwaahidi watu ajira na kuwapotezea na wengine wanaajiriwa na kulipwa mshahara mdogo sana tofauti na mkataba.

Kama wapo officers wa pale watawaelezea zaidi
 
Kwa ufupi hao ni kama freelancer, wanalipwa hiyo posho kama nauli na chakula.

Juhudi yako ya kupata wateja wengi ndio itaamua utakunja kiasi gani kwa mwezi.
Kama unajijua kabisa kiwango chako cha masoko na kushawishi watu kununua bidhaa kipo kimo cha nyoka kama mimi, usiende utaishia kupata msongo wa mawazo na matatizo ya kiafya.

Ni utaratibu mzuri kwa wenye fani zao za marketing and sales. Marupurupu ni kutokana na unavyoleta wateja.
Kama ni ivyo inamaana hata hao teller nao watakuwa wanachukua mpunga ambao hauzidi mia 400
 
Sijajua ila tellers huenda wakawa na mikataba tofauti yenye maslahi.

Mwisho wa siku, sio unapata kiasi gani ila unafanyia nini unachokipata?
 
Back
Top Bottom