Msaada wana JF wenzangu, nina msongo wa mawazo

Msaada wana JF wenzangu, nina msongo wa mawazo

Mbulukenge

Senior Member
Joined
Jun 26, 2019
Posts
130
Reaction score
306
Napitia changamoto za msongo wa mawazo, nafikiria kujiua tu.

Napitia mfululizo wa matukio yakunikatisha tamaa kabisa.

Nmejariwa kusoma but sijawahi kupata kazi.

Kinacho niumiza zaidi nlikua nmeachiwa gari 2 za home coaster kufanya biashara.

Nlikata TLB ya special hire nmefanya kama miezi sita fluently gari zinazingua nikajikuta nakua na madeni makubwa Ili niweze ku handle kuendesha biashara.

Kikubwa zaidi this week gari zote zimepata ajali na kuisha kabisa yaani ni scraper zote ata kukata haziwezekani.

Maisha yangu yamekua magumu ndani ya muda mchache tu Kila napojaribu kutafuta msaada naambulia patupu mwanamke kanikimbia na mtoto nahisi maisha yangu yamejaa nuksi na mikosi tu nakosa raha ya maisha kabisa.
 
Hiyo ni hali ya kawaida sana kwenye age ya 19yrs - 24. Kikubwa don't withdraw the fight, uliumbwa uishi mpaka pale expire date yako itakapofika naturally. Hayo yanayokusonga yatapita na utabaki unajidharau kwa kua na fikra hizi.
Wengi tumepita hali hiyo, hasa wanaume halafu uwe si muongeaji. Hali inakua mbaya zaid
 
Napitia changamoto za msongo wa mawazo nafikiri kujiua tu.
kabla ujajiua fikiria watu utakao waacha nyuma yako familia yako na marafiki wako

fikiria je ukifa hilo tatizo linalo pelekea upatwe na depression litakwishwa hakuna njia nyingine ya kulikabili? think

usione watu wana furahia maisha kwa ground kila Mtu kuna kitu kinamsumbua na kinampa depression kinouma ni Vile all human beings ni vinyonga tunajua ku pretend like everything is okay but Sio kweli

kila Mtu unae muona machoni kwako kuna failure ambazo Zina msonga kuna watu hawana kazi kuna watu ni wagumba kuna watu wanachapiwa nje kuna watu wamefeli na ndio tegemezi wa familia kuna watu tunanuka madeni tupo bankrupt mbaya mbovu kuna watu wana mgonjwa ukisimuliwa lazima upige goti umshukuru Mungu just know your not alone tupo wengi on the same boat

you know what Buda ingia bathroom oga vaa vizur toka home ingia mtaani head up chest out walk like king or like you don't give a fvck who is king
kutana na watu everything gonna be alright
 
Aliye karibu nae amsaidie ushauri nasaha kwani huwa wananza hivi hivi halafu kama utani unasikia tayari huko watu wanaimba mapambio.

Na wewe mleta uzi sema tatizo lako hapa jamvini usaidiwe kwenye wengi hakuna linaloharibika. Kama umeweza kufunguka kuwa una tatizo basi malizia kulifafanua ili watu wakusaidie mawazo mbalimbali. Nina hakika baada ya kuliweka hadharani tatizo lako hapa utakuwa umetua mzigo mzito uliokuelemea. Hapa jamvini kuna wataalam na wazoefu wa kila aina utakutana hata na waliopitia zaidi ya hayo unayopitia.
 
MBULUKENGE jaribu kupita mahospitalini ambapo watu wanapambania maisha yao usiku na mchana halafu wewe unataka uyatoe kizembe kizembe tu.

Kaza wewe.
Kataa hilo shetani la kujiua.

Tafuta msaikolojia aliyekaribu nawe muda ambao unasubiri majibu ya wana jf.

Kama hujuani na wana saikolojia
Sema uko mahali gani tukutumie mawasiliano ya wanasaikolojia sehemu uliyopo.


Goodluck.
 
Me nakushaur jaribu kuongea na ndugu zako wa karibu haswa wa tumbo moja kama kaka dada hao hawawez kukutupa eleza matatizo yako kujiua sio soln coz huwez jua huko unakokwenda kupoje usije kuwa unawah matatizo ambayo n makubwa kuliko haya ila kama unaona kujiua n raha fresh tu we jiue tuache na matatizo yetu ya umeme najua mpk 2025 tutapata suluhisho tu
 
Back
Top Bottom