Msaada wana tatizo la uzazi


blood group haina shida wote tuna 0+. nimejipa miaka mitano ikishindikana ntaadopt
 

Amina sana
 
Inawezekana kipindi cha nyuma mkeo alitoa mimba sana,na ndiyo imepelekea kizazi kiwe tepetepe (chepesi) mfuko kushindwa kumwifadhi mtoto,sasa inatakiwa akipata mimba ingine uwahi hospitali ashonewe na atapewa bed rest ili kunusuru kiumbe kilichopo tumboni kisitoke,,pia maombi ni silaa achana na waganga wa kienyeji ambao watakua wanakutuma kuku na mbuzi kwa manufaa yao,hawatakusaidia kitu,mtumaini mungu ni mwema anasamehe yote na atakupa faraja ya maisha nawe utaitwa baba
 

Amekwambia cervix haina tatizo wala tatizo lolote kwenye kizazi unataka akashonewe nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…