- Thread starter
- #21
Nilikaa mwaka... Ruvu 6 months and Rwamkoma 6 months. That was 1970s.Magonjwa si yapo tu kokote,,ila hata ukiumwa hakuna mapumziko ya maana ila sie muda mwingi tulikua tunajiuguza ki uongo uongo mtu unaenda hosptal unadanganya kichwa sijui nini wakipima hauna lolote hadi joto kawaida ni vile tulikua tunafurahia kale ka muda ka kukaa hosptal wakati mazoezi/kazi zinaendelea.Aisee jeshi ni wito haswaa miezi mitatu niliona miaka kumi.HONGERENI WANAJESHI WETU