Msaada: Wanaoijua Mgambo JKT Tanga ikoje mazingira yake?

Nilikaa mwaka... Ruvu 6 months and Rwamkoma 6 months. That was 1970s.
 
Kufanya kazi siyo shida, shida ni ukatili wa wanajeshi. Kambi zingine CO huwkwaa wengine wanakataa kabisa kuruta kuteswa out of mazoezi ya jeshi per se..
kwa mgambo sikuona ukatili wowote zaidi ya kazi na mazoezi ya kawaida tu(lakini mimi kwa upande wangu yalikua magumu)japo mwisho wa siku nilifungua moyo kishingo upande.
 
sikumbuki maana sifuatilii mambo hayo. Wanangu hakuna aliyekwenda jkt hivyo sifuatilii. Last one ndiyo amechaguliwa kwenda hapo.
Hivi JKT imerudi siku hizi? Ni watu gani wanapaswa kwenda? Ni hiari au lazima? Ni muda gani?
 
Nilitoka huko mwaka 2018 jiandae kuvuna mahindi kwenye shamba dunia lako vizuri ki hali ya hewa ila kuhusu mawasiliano kiukweli mtandao unasumbua sana nenda na laini ya Airtel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…