[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayo umesema ww[emoji23][emoji23][emoji23]
Embu tuwekee hayo maujuzi hapa tuyajueVipimo vya mimba vipo kampuni nyingi.yeye si amuulize mhusika?amepima nini? Natamani huyo demu mlete hapa nimpime maana nilivyoboboa nazidi Dr[emoji23]
[emoji23][emoji23]miaka Fulani nishakuwaga teacher bana Siku moja tukapima watoto wa kike wote uwiiii 8 wote wana mimba, hapo ndipo nilienda semina yule Dr alinifundisha kupima mimba kwa macho, mikono kujua ikiwa na miezi mingapi unajuaje .kwa sasa nikimuona tu MTU najua kila kitu.
[emoji28][emoji28]hiki kipimo kinanikumbusha enzi nipo chuo...dah..ilikua ikiweka vimstari viwili uwiiii...bado nikikiona nasisimkwa
Bora iwe sio yaaniMbona naona ni kama bahasha za Kufungiwa CD kariakoo.
Hiko siyo kipimo cha mimba.
Ni jamaa angu kabisamtoa mada ni ww mwenyewe hakuna cha mchiz wako wa malawi ama wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
uwiiiii ila watoto wakizaliwa mnajifanya mnawapenda full mapicha instahiki kipimo kinanikumbusha enzi nipo chuo...dah..ilikua ikiweka vimstari viwili uwiiii...bado nikikiona nasisimkwa
Kama ni hivyo naomba kwa kweli..maana ndoa iko mashakaniHiyo ni rula, aache kumtafutia sababu dada wa watu ajaguswa anamsubiri arudi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilivyo mvivu kuandika loh
Mtu mzima huyoAcha kutembea na watoto wa shule yamekupata sasa , shauri yako.
Mtu anataka akamatwe,hakuna kumuuliza...Njoo Iringa umpimeVipimo vya mimba vipo kampuni nyingi.yeye si amuulize mhusika?amepima nini? Natamani huyo demu mlete hapa nimpime maana nilivyoboboa nazidi Dr[emoji23]
[emoji23][emoji23]miaka Fulani nishakuwaga teacher bana Siku moja tukapima watoto wa kike wote uwiiii 8 wote wana mimba, hapo ndipo nilienda semina yule Dr alinifundisha kupima mimba kwa macho, mikono kujua ikiwa na miezi mingapi unajuaje .kwa sasa nikimuona tu MTU najua kila kitu.
Na mimi naomba tu kisiwe cha mimbaSiyo Kipimo cha mimba hicho, Ila kinafanana na Kipimo cha Typhoid, ingawa picha yake haijakaa vizuri aise
Hahaaaa[emoji23][emoji23]Mi nilikua namuelekeza atumie mrija wa juisi.
Kumbe sio wako,daaaah[emoji20][emoji20][emoji20]uwiiiii ila watoto wakizaliwa mnajifanya mnawapenda full mapicha insta
Siku hizi hakuna kuaminiana,kwa rafiki yake sidhani...kwa hali nilioambiwa sivyoKupenda kuna shida sana, watu ni kuishi kwa mashaka mashaka na kuwindana kama wanyama porini.
Itakuwa ni kifaa/kipimo cha rafiki yake na huyo bidada.