Msaada: Wanaojua vipimo vya mimba kwa kutumia mkojo, hiki ni kimoja wapo?

Msaada: Wanaojua vipimo vya mimba kwa kutumia mkojo, hiki ni kimoja wapo?

Vipimo vya mimba vipo kampuni nyingi.yeye si amuulize mhusika?amepima nini? Natamani huyo demu mlete hapa nimpime maana nilivyoboboa nazidi Dr😂

😂😂miaka Fulani nishakuwaga teacher bana Siku moja tukapima watoto wa kike wote uwiiii 8 wote wana mimba, hapo ndipo nilienda semina yule Dr alinifundisha kupima mimba kwa macho, mikono kujua ikiwa na miezi mingapi unajuaje .kwa sasa nikimuona tu MTU najua kila kitu.
 
Siyo Kipimo cha mimba hicho, Ila kinafanana na Kipimo cha Typhoid, ingawa picha yake haijakaa vizuri aise
 
Vipimo vya mimba vipo kampuni nyingi.yeye si amuulize mhusika?amepima nini? Natamani huyo demu mlete hapa nimpime maana nilivyoboboa nazidi Dr[emoji23]

[emoji23][emoji23]miaka Fulani nishakuwaga teacher bana Siku moja tukapima watoto wa kike wote uwiiii 8 wote wana mimba, hapo ndipo nilienda semina yule Dr alinifundisha kupima mimba kwa macho, mikono kujua ikiwa na miezi mingapi unajuaje .kwa sasa nikimuona tu MTU najua kila kitu.
Embu tuwekee hayo maujuzi hapa tuyajue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu anataka akamatwe,hakuna kumuuliza...Njoo Iringa umpime

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom