Msaada: Wanaojua vipimo vya mimba kwa kutumia mkojo, hiki ni kimoja wapo?

Oooh,thanks...lakini naona kuna namba 14,28..[emoji53].ni siku za hatari na mp hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujue me nakushangaa mkuu tynakuambia icho co kipimo huamini na kwanini una wasiwasi ivooo as if uyo demu akikosa iyo ndoa utakufa meeen chill basi izo namba huenda ni gazeti au anything kama jarida mkuu use your common sense...uyo demu yupo iringa sehem gani nikampime me nipo tumaini uku

am better here
 
Bro roho inaniuma sababu mimi na msela tumefanya biashara nyingi tukimhisisha huyo demu,demu nae ana hisa afu ndo mpango mzima katika marketing. ...tukimkosa ndo mambo yana-cease,demu yupo Kitanzini mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚upo km mama yangu ht upinduke vipi hy iwe na wk 3 anajua kbs..mm had ntu afike kipidni cha kutoka tumbo mbele ndo najua... nimeishi na dada wa kazi kumbe eti ana mimba ya kuzaa kbs..yaan mm huko sielewi kbs.. wanadai macho yanakua 'pale'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…