Luckme
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 713
- 758
Hahah cku zikipitilizahiki kipimo kinanikumbusha enzi nipo chuo...dah..ilikua ikiweka vimstari viwili uwiiii...bado nikikiona nasisimkwa
am better here
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah cku zikipitilizahiki kipimo kinanikumbusha enzi nipo chuo...dah..ilikua ikiweka vimstari viwili uwiiii...bado nikikiona nasisimkwa
Oooh,thanks...lakini naona kuna namba 14,28..[emoji53].ni siku za hatari na mp hiziKile sio mkuu just relax
am better here
Hahah cku zikipitiliza
am better here
uwiiiii ila watoto wakizaliwa mnajifanya mnawapenda full mapicha insta
Ujue me nakushangaa mkuu tynakuambia icho co kipimo huamini na kwanini una wasiwasi ivooo as if uyo demu akikosa iyo ndoa utakufa meeen chill basi izo namba huenda ni gazeti au anything kama jarida mkuu use your common sense...uyo demu yupo iringa sehem gani nikampime me nipo tumaini ukuOooh,thanks...lakini naona kuna namba 14,28..[emoji53].ni siku za hatari na mp hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona unasema uwiiiiiiiiiii badala ya kusema yeeeeeees😊😊usimpende kwasabb gan jaman..
Bro roho inaniuma sababu mimi na msela tumefanya biashara nyingi tukimhisisha huyo demu,demu nae ana hisa afu ndo mpango mzima katika marketing. ...tukimkosa ndo mambo yana-cease,demu yupo Kitanzini mkuuUjue me nakushangaa mkuu tynakuambia icho co kipimo huamini na kwanini una wasiwasi ivooo as if uyo demu akikosa iyo ndoa utakufa meeen chill basi izo namba huenda ni gazeti au anything kama jarida mkuu use your common sense...uyo demu yupo iringa sehem gani nikampime me nipo tumaini uku
am better here
mbona unasema uwiiiiiiiiiii badala ya kusema yeeeeeees
Vipimo vya mimba vipo kampuni nyingi.yeye si amuulize mhusika?amepima nini? Natamani huyo demu mlete hapa nimpime maana nilivyoboboa nazidi Dr😂
😂😂miaka Fulani nishakuwaga teacher bana Siku moja tukapima watoto wa kike wote uwiiii 8 wote wana mimba, hapo ndipo nilienda semina yule Dr alinifundisha kupima mimba kwa macho, mikono kujua ikiwa na miezi mingapi unajuaje .kwa sasa nikimuona tu MTU najua kila kitu.
Ohooo basi relax muulize kama ana mimba au la...Bro roho inaniuma sababu mimi na msela tumefanya biashara nyingi tukimhisisha huyo demu,demu nae ana hisa afu ndo mpango mzima katika marketing. ...tukimkosa ndo mambo yana-cease,demu yupo Kitanzini mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
kitu unachokipenda kikija utasema yeeees kwa furaha au atalia uwiiiiiiiiiiii kwa huzuni😂😂😂😂😂 unazengua
mchanganyiko hyokitu unachokipenda kikija utasema yeeees kwa furaha au atalia uwiiiiiiiiiiii kwa huzuni
Hahaha Nouma sana! Ikiwa kweli nawe tengeneza kwingine
Ndo mpangoHahaha Nouma sana! Ikiwa kweli nawe tengeneza kwingine
Sure,but hawezi sema "ndio"Ohooo basi relax muulize kama ana mimba au la...
am better here