Ukumbuke babu zako hawakutumia simu kufikisha ujumbe. Walikuwa wakitembea umbali mrefu hta kama taarifa ni muhimu. Pia hawakutumia fedha kuuza au kununua, ishi kama wao bila FB wala WhatsApp.Mkuu kumiliki gari ni anasa. Wazee wetu walikuaga wanatembea sanana hawakuniliki magari hawakupungukiwa na kitu na mambo yalienda. Kutembea pia ni mazoezi kuna Magonjwa mengi ya kizembezembe sasa hivi kama kisukari na presha yanaepukika tu ukiwa unatembeatembea kuliko mda wote unaendesha gari.
Nimegundua kwanini watanzania wengi wakiendesha magari yao wananuna,yaani wanakuwa kama wana hasira flani hivi, sasa kosa umgonge hasira zote anakumalizia wewe.Kuagiza gari Ni sawa na kujiunga CHADEMA. Unatakiwa uwe na roho ngumu. Kuagiza na kulipia Ulaya si kazi. Kazi iko hapo mtoni kwetu.
Import duty.
Railway levy
Excise duty
Excise duty due to age
VAT
Import declaration fees
Handling
Wharfage
Number plate
Insurance
VAT on handling
VAT on wharfage
Agency fees
PETROL
Ukiona mtu anaendesha gari lake binafsi usimlaumu akikunyima lift.
Hivi Watanzania huwa mnasoma contents kwenye habari mkazielewa kweli? Kwenye maelezo yangu kuna mahali nimesema nataka kukwepa kodi? Maana yangu ya kuuliza, nilizungumzia habari ya kununua gari tena humu humu JF, ubaya ule uzi nimeukosa. Kuna mdau mwenye kampuni ya clearing and forwarding akanikomalia kwamba hata kama huna hela ya kulipa kodi kwa sasa hivi wao katika kampuni yao huwa wanaingia makubaliano wanalipia gari inatoka. Ndiyo maana nikauliza hii imekaaje?Kwa zama hizi kama unataka kupiga chenga unaweza poteza yote mkuu
Hapana chezea mitano tena
Sawa sawa kabisa mkuu! Ushauri murua kabisa huu! Jamaa alinikomalia mno mpaka nikashangaa! Ndiyo maana nikaja hapa jukwaani kuulizia kama kuna mdau alishashiriki hii biashara haramu! Hapo umesema kweli mkuu na nimekuelewa vizuri kabisa!Usithubutu kufanya hiyo arrangement ya kuchukua hela ya kulipia ushuru kutoka kwa loan sharks. Wanachofanya, gari ikitoka wewe unachukua file la document gari analichukua aliyekukopesha.
Kifuatacho baada ya hapo uhakikishe unapata pesa ndani ya mwezi mmoja baada ya kupewa pesa ili ulipe deni na 10% au 15% au 20% au 25% au 30% kama riba kutegemea makubaliano yenu. Ikipita mwezi mmoja riba inapandiana na waweza jikuta unadaiwa pesa zitakazokulazimisha kuacha gari na wewe kuambulia kupewa pesa kidogo tu ukipigiwa hesabu ya kiasi ukichonunua gari! Inasemekana watu hawa wanatumia hata ushirikina ili ushindwe kukomboa gari lako
Loan sharks wabaya sana. Siku ya mwisho ikifika kabla riba haijaongezeka wanazima simu zote na mjini wanahama.Usithubutu kufanya hiyo arrangement ya kuchukua hela ya kulipia ushuru kutoka kwa loan sharks. Wanachofanya, gari ikitoka wewe unachukua file la document gari analichukua aliyekukopesha.
Kifuatacho baada ya hapo uhakikishe unapata pesa ndani ya mwezi mmoja baada ya kupewa pesa ili ulipe deni na 10% au 15% au 20% au 25% au 30% kama riba kutegemea makubaliano yenu. Ikipita mwezi mmoja riba inapandiana na waweza jikuta unadaiwa pesa zitakazokulazimisha kuacha gari na wewe kuambulia kupewa pesa kidogo tu ukipigiwa hesabu ya kiasi ukichonunua gari! Inasemekana watu hawa wanatumia hata ushirikina ili ushindwe kukomboa gari lako
Tusiandikie mate wino upo.Hivi Watanzania huwa mnasoma contents kwenye habari mkazielewa kweli? Kwenye maelezo yangu kuna mahali nimesema nataka kukwepa kodi? Maana yangu ya kuuliza, nilizungumzia habari ya kununua gari tena humu humu JF, ubaya ule uzi nimeukosa. Kuna mdau mwenye kampuni ya clearing and forwarding akanikomalia kwamba hata kama huna hela ya kulipa kodi kwa sasa hivi wao katika kampuni yao huwa wanaingia makubaliano wanalipia gari inatoka. Ndiyo maana nikauliza hii imekaaje?