Sawa ndo akili zako hiziTafuta panga ujikate kidole kimoja ukiona hujalia basi wewe your a walking dead.
KaribuDah! Sawa intarudi na somo kamili
Nataka sababuSasa hapo si ndo safi!!
Ha haJiwekee maji ya vitunguu machoni utarestore machozi
Mia mkuuSawa new member
Haikatai
π π π haaa tank tenaUmeisha maliza machozi kwenye tank ndiomana unaona hayatoki uliyatumia hovyo kwakuyamwaga hovyo hovyo
Usiwaze saaana inawezekana hilo jambo halijakuumiza kama unavyodhani........be patient!!!!Nataka sababu
HawaJinsia yako kwanza mkuu
Habarini JF,
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikiuziwa au nikipata changamoto nzito napunguza maumivu kwa kulia na ilikuwa inanisaidia maana nikishalia automatically nakuwa sawa kama kusamehe nasamehe na mambo yanaisha kabisa.
Sasa toka 2018 ianze siwezi kulia yani sina chozi yani kuna kitu kimeniumiza kupita kiasi hapa najaribu kulia hadi kwa kufosi imeshindikana, hapa nipo kama zezeta sielewi ka nina furaha ama nina huzuni.
Wanasaikolojia nisaidieni.
Limeniumiza sana hadi sijui kama nafuraha ama nahuzuni yani nipo kama zezetaUsiwaze saaana inawezekana hilo jambo halijakuumiza kama unavyodhani........be patient!!!!
LabdaMoyo umezoea maumivu