ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 3,971
- 4,440
Pole sana ndugu.Habarini JF,
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikiuziwa au nikipata changamoto nzito napunguza maumivu kwa kulia na ilikuwa inanisaidia maana nikishalia automatically nakuwa sawa kama kusamehe nasamehe na mambo yanaisha kabisa.
Sasa toka 2018 ianze siwezi kulia yani sina chozi yani kuna kitu kimeniumiza kupita kiasi hapa najaribu kulia hadi kwa kufosi imeshindikana, hapa nipo kama zezeta sielewi ka nina furaha ama nina huzuni.
Wanasaikolojia nisaidieni.
Yaani umenigusa na mimi kwenye hili maana na mimi mtu akiniuzi lazima nilie kabisa halafu napotezea lakin kunikera kwangu mimi hukueleza kabisa usinikere usipokubali kama ukaribu na mimi lazima ni kupige mkono halaf nalia mimi. Duh