Msaada wanasaikolojia: Siwezi kulia

Msaada wanasaikolojia: Siwezi kulia

Habarini JF,

Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikiuziwa au nikipata changamoto nzito napunguza maumivu kwa kulia na ilikuwa inanisaidia maana nikishalia automatically nakuwa sawa kama kusamehe nasamehe na mambo yanaisha kabisa.

Sasa toka 2018 ianze siwezi kulia yani sina chozi yani kuna kitu kimeniumiza kupita kiasi hapa najaribu kulia hadi kwa kufosi imeshindikana, hapa nipo kama zezeta sielewi ka nina furaha ama nina huzuni.

Wanasaikolojia nisaidieni.
Pole sana ndugu.

Yaani umenigusa na mimi kwenye hili maana na mimi mtu akiniuzi lazima nilie kabisa halafu napotezea lakin kunikera kwangu mimi hukueleza kabisa usinikere usipokubali kama ukaribu na mimi lazima ni kupige mkono halaf nalia mimi. Duh
 
Limeniumiza sana hadi sijui kama nafuraha ama nahuzuni yani nipo kama zezeta
Ndio maana huwezi kulia sababu umesema limekufanya ukawa kama zezeta, ubongo ukirudi sawa, utapata maumivu ya kukuumiza hadi kufikia kulia.

Acha kushindana na mwili /ubongo unavyopokea habari.
 
Tafuta panga ujikate kidole kimoja ukiona hujalia basi wewe your a walking dead.
Ndugu kama mimi hapa ni bora uniudhi sana naweza nikalia lakini kujikata au kuchomwa na mambo kama misumari tu wala sijawahipokutoa chozi labda nilipokuwa mdogo. Lakn ukubwan nishakumbana na mabalaa kama kuumia sana na wala sijalia labda kutabasamu.
 
Back
Top Bottom