Msaada wanasaikolojia: Siwezi kulia

Msaada wanasaikolojia: Siwezi kulia

Vyeria

Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
57
Reaction score
75
Habarini JF,

Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikiuziwa au nikipata changamoto nzito napunguza maumivu kwa kulia na ilikuwa inanisaidia maana nikishalia automatically nakuwa sawa kama kusamehe nasamehe na mambo yanaisha kabisa.

Sasa toka 2018 ianze siwezi kulia yani sina chozi yani kuna kitu kimeniumiza kupita kiasi hapa najaribu kulia hadi kwa kufosi imeshindikana, hapa nipo kama zezeta sielewi ka nina furaha ama nina huzuni.

Wanasaikolojia nisaidieni.
 
Tafuta panga ujikate kidole kimoja ukiona hujalia basi wewe your a walking dead.
 
Umeisha maliza machozi kwenye tank ndiomana unaona hayatoki uliyatumia hovyo kwakuyamwaga hovyo hovyo
 
Jiwekee maji ya vitunguu machoni utarestore machozi
 
Habarini JF,

Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikiuziwa au nikipata changamoto nzito napunguza maumivu kwa kulia na ilikuwa inanisaidia maana nikishalia automatically nakuwa sawa kama kusamehe nasamehe na mambo yanaisha kabisa.

Sasa toka 2018 ianze siwezi kulia yani sina chozi yani kuna kitu kimeniumiza kupita kiasi hapa najaribu kulia hadi kwa kufosi imeshindikana, hapa nipo kama zezeta sielewi ka nina furaha ama nina huzuni.

Wanasaikolojia nisaidieni.

Ukipigwa BAN utalia tu
 
Back
Top Bottom