Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Mkuu kama unatumia mobile application sio rahisi kubold, kupaka rangi wala kukuza maandishi, etc. Kama unatumia web application kwenye simu au kompiuta inawezekana kufanya hivyo kwa kufuata hizo alama nilizozungushia hapo kwenye mchoro (tazama mchoro hapo chini). Ukigusisha buku yako kwenye herufi zilizopo juu ya ukurasa wako wa kuandikia, utaona kwamba B inamaanisha bold, I inammanisha italic, U, underline, nk. Kwa hiyo unachotakiwa kufanya ni kuchagua/highlight maneno unayotaka kufanyia ukarabati na kutekeleza aunachotaka kukifanya mubashara. Bila shaka umenielewa mkuu.
upload_2017-6-17_15-37-46.png
 
Habari za muda ndg wa jamii forum

Naenda moja kwa moja ,
Huwa natamani sana na mm kufanya bolding ya maneno whatsap au humu ila huwa siwezi. Naomba mwenye uzoefu anielekeze . Afu pia maneno ya rangi
Asanteni nawasilisha .
 
Back
Top Bottom