Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Kuweka rangi andika hivi [ co lor = r e d ]kisha andika neno utakalo. Hapo kwwnye mabano usiache nafasi
nakushukuru unafaa kuwa mwalimu
Habari za muda ndg wa jamii forum

Naenda moja kwa moja ,
Huwa natamani sana na mm kufanya bolding ya maneno whatsap au humu ila huwa siwezi. Naomba mwenye uzoefu anielekeze . Afu pia maneno ya rangi
Asanteni nawasilisha .

 
Back
Top Bottom