Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Nimeshakosea, sirudii tena
daudthefarmer [emoji118] kama hivyo... yaan fanya hv .. weka herufi b ktk brackets kama [emoji117] kisha neno/maneno unayotaka ku-bold yafuate TAHADHALI usiache SPACE/NAFASI kati ya bracket ya kulia na neno/maneno unayo-bold
 
Back
Top Bottom