mliquid
Senior Member
- Jan 4, 2017
- 121
- 107
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wala hata aseehMkuu umeenda Zimbabwe nini?
Inakuaje,mbona hayawi bolded?Noah zetu
Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
Anza na alama [ halafu herufi b halafu alama ] then neno unalotaka Ku bold
Jini [jini]Ukitaka ku bold maneno whatsaap unaweka nyota mbili ** kati ya maneno unayotaka kuyabold.Yan kama unataka kubold neno JINI unaandika *JINI*
Na kama unataka ku bold humu JF unatakiwa kuwa na hii setup katikati ya hayo maneno unaweka maneno unayotaka ku bold.KUMBUKA KATIKATI YA MANENO NA HAYO MABANO USIACHE NAFASI.Mfano naweka katikati neno JINI yan JINI
[
Jini ji]niHabari za muda ndugu wa JamiiForums
Naenda moja kwa moja. Huwa natamani sana na mimi kufanya bolding ya maneno whatsap au humu ila huwa siwezi. Naomba mwenye uzoefu anielekeze. Alafu pia maneno ya rangi.
Asanteni, nawasilisha.
Jini jiniNyota unaweka watsup ila jf unaanza na [ b ] usiruke nafasi kisha unaandika maneno utakayo