Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

ha haa.. Kuna kitu nimesahau ndio maana nilikuambia hivi vitu vinatakiwa kufanyiwa zoezi la mara kwa mara, italic ni kua unaweka mabano ya [ i] na mwisho unamaliza na [/i ] ikiwa na herufi "i" ndani yake kama sikosei! Poa na mimi ngoja nianze kufuatilia!
Põa najaribu kwa sana.
 
Nakusoma ndugu.

Sasa Kuna mchanganyiko wakubold na italiki na uwepo wa rangi inakuaje? Duh
 
Back
Top Bottom