ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 3,971
- 4,440
Põa najaribu kwa sana.ha haa.. Kuna kitu nimesahau ndio maana nilikuambia hivi vitu vinatakiwa kufanyiwa zoezi la mara kwa mara, italic ni kua unaweka mabano ya [ i] na mwisho unamaliza na [/i ] ikiwa na herufi "i" ndani yake kama sikosei! Poa na mimi ngoja nianze kufuatilia!