Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

Mkuu kama unatumia mobile application sio rahisi kubold, kupaka rangi wala kukuza maandishi, etc. Kama unatumia web application kwenye simu au kompiuta inawezekana kufanya hivyo kwa kufuata hizo alama nilizozungushia hapo kwenye mchoro (tazama mchoro hapo chini). Ukigusisha buku yako kwenye herufi zilizopo juu ya ukurasa wako wa kuandikia, utaona kwamba B inamaanisha bold, I inammanisha italic, U, underline, nk. Kwa hiyo unachotakiwa kufanya ni kuchagua/highlight maneno unayotaka kufanyia ukarabati na kutekeleza aunachotaka kukifanya mubashara. Bila shaka umenielewa mkuu.
View attachment 525727
Iyo webu inapatikana vip ebu tujuze mkuu
 
Iyo webu inapatikana vip ebu tujuze mkuu
WEB ni ukurasa wa internet kama unavyouuona kwenye kompiuta au ikiwa utaingia google na kufungua JF kwenye simu. Hii ni tofauti na JF app ambayo unaipata playstore na kuinstall kwenye simu.
 
Back
Top Bottom