Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Hao jamaa wameniingiza chakike π π½ohoo umenoa
π·π·π·π·π·π·π·π·π·
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao jamaa wameniingiza chakike π π½ohoo umenoa
.Nimeona
Tuludi kwetu sasawe acha tu
[Red]woooo[red] waoooooh
Hizi simbo mbona mimi sipati au kwa kutumia computer?View attachment 525721
Tumia symbols hizo kubadili na kuremba mwandiko utakavyo...
Iyo webu inapatikana vip ebu tujuze mkuuMkuu kama unatumia mobile application sio rahisi kubold, kupaka rangi wala kukuza maandishi, etc. Kama unatumia web application kwenye simu au kompiuta inawezekana kufanya hivyo kwa kufuata hizo alama nilizozungushia hapo kwenye mchoro (tazama mchoro hapo chini). Ukigusisha buku yako kwenye herufi zilizopo juu ya ukurasa wako wa kuandikia, utaona kwamba B inamaanisha bold, I inammanisha italic, U, underline, nk. Kwa hiyo unachotakiwa kufanya ni kuchagua/highlight maneno unayotaka kufanyia ukarabati na kutekeleza aunachotaka kukifanya mubashara. Bila shaka umenielewa mkuu.
View attachment 525727
heheheheee twenzetu mkuu.Tuludi kwetu sasa
WEB ni ukurasa wa internet kama unavyouuona kwenye kompiuta au ikiwa utaingia google na kufungua JF kwenye simu. Hii ni tofauti na JF app ambayo unaipata playstore na kuinstall kwenye simu.Iyo webu inapatikana vip ebu tujuze mkuu
[Ngoja nijarbu]Kubold maneno JF ni [ b ] bananisha hapo kisha andika maneno yatakua bolded