Habarini za asubuhi wandugu,naombeni mnisaidie:nina umri wa miaka 38 jinsia yangu ni ya kiume niko single nimechagua wadada wee mwisho naona umri unataka kunitupa mkono la ajabu sasa kila demu ninaetaka kumuoa ananitolea nje nina kazi katika kampuni binafsi ya matangazo (advertising) hapa dar hapa kama kuna mwenye vigezo vifuatavyo ajitokeze,
Awe mchaga
Awe mkristo mcha mungu
Awe na elimu kidato cha nne kwenda juu
Awe na umri 28-32
Asiwe na mtoto
Vigezo vingine tutavijua mbele ya safari
Awe mchaga
Awe mkristo mcha mungu
Awe na elimu kidato cha nne kwenda juu
Awe na umri 28-32
Asiwe na mtoto
Vigezo vingine tutavijua mbele ya safari
