Mi ni mwajiriwa wa serikali nilijiendeleza fani ambayo sikuruhusiwa na mwajiri wangu .nimeomba nifanyiwe recategolization mkurugezi ameniandikia barua nijieleze kwanini nisichukuliwe hatua za nidhamu kwa kusoma fani asiyoniruhusu.
Ada na mahitaji yote ya chuo nilijilipia mwenyewe. Asanteni kwa ushauri wenu.
Ulipoamua kusoma fani ambayo mwajiri hakukuruhusu lazima kulikuwa na moltivation, tuweleze wazi kilichokusukuma kusomea hiyo fani ilikuwa nini?[/QUOT
Utofauti wa mshahara ndo sababu kuu
Ulipoamua kusoma fani ambayo mwajiri hakukuruhusu lazima kulikuwa na moltivation, tuweleze wazi kilichokusukuma kusomea hiyo fani ilikuwa nini?[/QUOT
Utofauti wa mshahara ndo sababu kuu
Kama umefanikiwa kumaliza vizuri ulichosomea, unaweza kutafuta kazi ya fani mpya katika mashirika mengine?