Mi ni mwajiriwa wa serikali nilijiendeleza fani ambayo sikuruhusiwa na mwajiri wangu .nimeomba nifanyiwe recategolization mkurugezi ameniandikia barua nijieleze kwanini nisichukuliwe hatua za nidhamu kwa kusoma fani asiyoniruhusu.
Ada na mahitaji yote ya chuo nilijilipia mwenyewe. Asanteni kwa ushauri wenu.
Ada na mahitaji yote ya chuo nilijilipia mwenyewe. Asanteni kwa ushauri wenu.