msaada wanu tafadhari

msaada wanu tafadhari

nyasitiki

Member
Joined
Jun 10, 2013
Posts
9
Reaction score
0
Mi ni mwajiriwa wa serikali nilijiendeleza fani ambayo sikuruhusiwa na mwajiri wangu .nimeomba nifanyiwe recategolization mkurugezi ameniandikia barua nijieleze kwanini nisichukuliwe hatua za nidhamu kwa kusoma fani asiyoniruhusu.
Ada na mahitaji yote ya chuo nilijilipia mwenyewe. Asanteni kwa ushauri wenu.
 
Ulipoamua kusoma fani ambayo mwajiri hakukuruhusu lazima kulikuwa na moltivation, tuweleze wazi kilichokusukuma kusomea hiyo fani ilikuwa nini?
 
Back
Top Bottom