Msaada: Wapi naweza kupata mbegu za Safflower au Katamu?

Sunflower Ndiyo Sahihi
Eleza Ulipo Uelekezwe Chapo JF Inapatikana Dunia Yote
 
Ungekuwa huku jirani ninazo kama kilo moja nilitoka nayo moshi.

Unless otherwise ipo mikoa inayolima hili zao ie mwanza, manyara, iringa, mbeya etc jaribu kutafuta ofisi za mabwana shamba watakusaidia kupata
 
Sihitaji sunflower 🌻 nahitaji safflower
 
c-176-safflower.jpg
Nadhani ndio hii mtoa mada anamaanisha.
 
Back
Top Bottom