AFRICAN POWER
Senior Member
- Jun 17, 2022
- 151
- 234
Habari wadau wa kilimo. Naomba kufahamishwa sehemu inapopatikana mbegu ya zao la Safflower au Katamu kwa jina jingine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SahihiYaani alizeti?
Ungekuwa huku jirani ninazo kama kilo moja nilitoka nayo moshi.Sahihi
Hapana Mamdenyi ni tofauti ma sunflowerYaani alizeti?
Hapana sio alizeti japo zinafanana umbo na alizeti ila sio alizeti mkuuSahihi
Sio sahihi natafuta safflower na sio sunflower 🌻Sunflower Ndiyo Sahihi
Eleza Ulipo Uelekezwe Chapo JF Inapatikana Dunia Yote
Sihitaji sunflower 🌻 nahitaji safflowerUngekuwa huku jirani ninazo kama kilo moja nilitoka nayo moshi.
Unless otherwise ipo mikoa inayolima hili zao ie mwanza, manyara, iringa, mbeya etc jaribu kutafuta ofisi za mabwana shamba watakusaidia kupata
Kama Upo Sanya JuuSio sahihi natafuta safflower na sio sunflower 🌻
Ahsante nipo kanda ya katiKama Upo Sanya Juu
Fika West Kilimanjaro, Siha Huko Ni Nyingi Sana Sana
Sehemu Inaitwa Namwai
SawaAhsante nipo kanda ya kati
Fafanua ni kitu ganiHabari wadau wa kilimo. Naomba kufahamishwa sehemu inapopatikana mbegu ya zao la Safflower au Katamu kwa jina jingine?
Kuna shamba niliona wanalima Basuto, Hanang. Lilikuwa ni shamba la wahindi wanaomiliki yale mashamba ya ngano. Watu wa maeneo hayo wanaweza saidiaHabari wadau wa kilimo. Naomba kufahamishwa sehemu inapopatikana mbegu ya zao la Safflower au Katamu kwa jina jingine?
Ahsante sana mkuuKuna shamba niliona wanalima Basuto, Hanang. Lilikuwa ni shamba la wahindi wanaomiliki yale mashamba ya ngano. Watu wa maeneo hayo wanaweza saidia