P Point of No Return 19 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2023 Posts 203 Reaction score 472 Jan 26, 2024 #1 Hellow wapendwa, Naomba kuuliza wapi nitapata mizani ya kidigital ya kupimia mazao hadi kilo 150? Inahitajika haraka sana?
Hellow wapendwa, Naomba kuuliza wapi nitapata mizani ya kidigital ya kupimia mazao hadi kilo 150? Inahitajika haraka sana?
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Jan 26, 2024 #2 Aunty G19 said: Hellow wapendwa, Naomba kuuliza wapi nitapata mizani ya kidigital ya kupimia mazao hadi kilo 150? Inahitajika haraka sana? Click to expand... Uko wapi?
Aunty G19 said: Hellow wapendwa, Naomba kuuliza wapi nitapata mizani ya kidigital ya kupimia mazao hadi kilo 150? Inahitajika haraka sana? Click to expand... Uko wapi?
M mtani21 JF-Expert Member Joined Jun 30, 2021 Posts 954 Reaction score 1,529 Jan 29, 2024 #3 Upo wapi? Kama dar nenda kkoo. Au mchinga complex jamaa wa Pembejeo wanayo. Bei 150k